Mr Alpha
Senior Member
- Jul 31, 2018
- 195
- 522
1. Ukabaji wa kasi
Namibia kila muda wakiwa hawana mpira hawakuwapa nafasi Tunisia kucheza watakavyo bali walihakikisha wanakaba kitimu na kuwanyima uhuru Tunisia kutengeneza mashambulizi makini
2. Mashambulizi ya kiakili
Namibia kila walipopata nafasi kukaribia lango la Tunisia hawakuwa na panicking au kubutua ovyo walitulia na kufanya mashambulizi ya maana. Hiki kitu taifa stars haina kabisa mara nyingi wakikaribia lango la adui wanapoteana wenyewe hawajui nn cha kufanya
3. Kutokuchoka
Namibia ni kama walikuwa wanapigana jihadi jana maana dakika zote 90 hakuna mchezaji aliyekuwa amekata pumzi wote walikuwa na physical fitness Ile ile mikimbio yao ilikuwa hai muda wote na kuwanyima kabisa nafasi Tunisia. Hiki kitu taifa stars huwa haina kuna muda wachezaji wetu huwa wanatepeta kabisa nadhani idara ya Fitness wajitafakari mapema
4. Marking
Mabeki wa Namibia walijitahidi mno kufanya marking dhidi ya washambuliaji wa Tunisia na kuweza kudhibiti mianya yote ya penetration passes au crosses hivyo kuua mipango mingi ya mashambulizi ya Tunisia
5. Nidhamu mchezoni
Namibia walijitahidi mno kuepuka rafu za kipuuzi hata Tunisia walipojaribu kuwavuta kwenye mfumo. Sikuzote Waarabu ni wajanja sana wakiona unabana sana wanakutafutia red card Ila namibia mda wote wa mchezo walieka nidhamu ya kutosha. Taifa stars tuna vijana ambao kukwazika ni wepesi kutokana na kukosa uzoefu wanapaswa kuonywa sana
Mlio karibu na benchi la ufundi taifa stars wafikishieni ujumbe huu mtakuja kunishukuru