Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi Ngozi...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Kama kuna watu wamesoma na wanajua mambo ila wanatumia elimu yao kutapeli ni wanaija. Dozy ni mnaija anayedai kuwa ni CEO na Mwanzilishi wa Tingo Mobile. Jamaa alianzisha tingo mobile ikiwa na...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama Yanga wanahitaji mchezaji wa kuwapa uzoefu kuhusu mbinu za kufanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika basi ni dhahiri huu ni muda muafaka wa kumpa nafasi mwamba John Rafael Bocco...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Tumeruhusuje KQ kutua Dar kirahisi namna hii?!!! Ona sasa....tungewafugia hadi wakiri "Ki-Mbwa"...
1 Reactions
3 Replies
639 Views
Hii ni aibu kwa kipa nambari moja Tanzania kupigwa goli nyingi kiasi hiki... Kwasasa Manula hastahili kuwa kipa namba moja, aibu kwa taifa na clab.... Na akiendelea kuwa kipa namba moja pale Simba...
1 Reactions
5 Replies
569 Views
Wakuu habar ,tuwekane wazi kabisa na wala si kuwatupia lawama wachezaji au kocha ilihali mnajua timu yetu ni mbovu tu miaka nenda miaka rudi mpaka siku za kalenda Hii timu ingekuwa imefuzu wala...
2 Reactions
10 Replies
845 Views
Shida ni viongozi wenye tamaa. Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017. Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Msitafute mchawiiiii 1. Aliikuwa ni Rais kiongozi wa nchi Kumbukeni anaongoza kila mtu anapokasirika hata mbingu inahuzunika Tuliona kirahisi alipoumia na kusema ile timu ni kichwa cha...
2 Reactions
6 Replies
648 Views
Wakuu, Mpira ni mchezo wa wazi kabisa kila mtu anaona, hakuna mambo ya kuongopeana kabisa. Pili, kwenye nafasi ya kiungo mshambuliaji hususani inside ten (10) wenye uwezo wa kucheza nafasi hiyo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Sio mbaya hata sisi tuliwakanda MOROCCO 3 hivyo kwangu Mimi naona Morocco wamelipiza kisasi Chao walichokuwa nacho vizazi na vizazi vyao Kikosi kilicho ikanda Morocco mwaka. 2013 Kiliundwa na...
0 Reactions
12 Replies
747 Views
Habari, Tukiwa tunaendelea kuugulia na kujifariji kwa yale yaliyotokea jana kwa timu yetu ya taifa (Tanzania) dhidi ya Morroco, leo nakupa wataalamu wa hat tricks tokea mashindano haya...
1 Reactions
2 Replies
561 Views
100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo, Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Wake pole na habarini za zenu. Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya Morocco dhidi ya Taifa stars? Maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi. Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania...
13 Reactions
67 Replies
29K Views
Huyu kocha ameajiriwa kuja kufundisha soka, sio kujifunza soka! Analipwa pesa nyingi sana kwa mwezi na gharama zote za malazi pamoja na usafiri ili tu aje afundishe soka! Yeye ni mtaalamu wa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii AFCON licha ya kwamba kuna uwezekano mkubwa tusipate japo point moja lakini pia tunaweza tusifunge hata goal [emoji3] Pia hata kama Mpira unadunda sioni nafasi ya stars kwenye hili kundi hata...
1 Reactions
13 Replies
673 Views
Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco. Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Jana nimefurahishwa na huyu refa, kama kuna matokeo niliyapenda ni ya jana watu waligawana point kihalali. Kikubwa zaidi kumpongeza huyu bwana na wachezaji kumhadaa refa awape penalty. OK...
1 Reactions
10 Replies
923 Views
Kuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo. Sasa sijui hawa wananchi wa hovyo wamechukizwa na nini, lakini najua tu kuna vitu vimetendwa aidha na serikali yao au na baadhi ya viongozi wao...
0 Reactions
68 Replies
20K Views
Sikushangaa kusikia Waziri wa michezo akisema hata wao huwa wanamuuliza kocha kwanini amemuacha Shabalala na Feitoto lakini majibu ya kocha yanawaridhisha. Wakati wa kocha Amunike pale...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…