franckkimm
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 440
- 852
Wakuu,
Mpira ni mchezo wa wazi kabisa kila mtu anaona, hakuna mambo ya kuongopeana kabisa.
Pili, kwenye nafasi ya kiungo mshambuliaji hususani inside ten (10) wenye uwezo wa kucheza nafasi hiyo kwa ufasaha (angalau 55%) Ni wawili tu CHAMA na SAIDO. Kama kuna mwingine rudia iyo paragraph ya juu halafu uje na facts tu na mimi nijifunze.
Hili ni dirisha dogo, lenye maana ya kurekebisha sehemu ndogo ndogo zenye mapungufu, timu yoyote kubwa duniani iliyokamilika haisajili kabisa kwenye dirisha hili.
Ila pia ikitokea wakasajili ni maeneo machache tu ambayo yana mapungufu madogo madogo husasani ni kusajili mchezaji mbadala wa anayepata majeraha ya mara kwa mara.
Kwa Simba sishangai sanaa kwa dirisha hili dogo, ni ngumu sana kupata mchezaji mwenye profile kubwa sababu wengi bado wapo kwenye mkataba mpaka mwisho wa msimu, na wengine ata mkivunja mkataba Bado wengi washacheza CAFCL hivyo bado ni changamoto tu.
Nieleweke, siku upande wowote ila najaribu kuongelea uhalisia yu wa kimpira ambao kote duniani ndio ulivyo.
Yaani kifupi ukikosea dirisha kubwa la usajili usitegemee dirisha dogo, mimi sio kiongozi wa mpira ila viongozi wa mpira wanalijua Hili kwa ufasaha.
Niulize tu, Baleke ni kweli alikuwa kwa mkopo Simba?
Sent using Jamii Forums mobile app