MWAMBA NA GOLI 3 ZA AFCON

o_2

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
348
287
Habari,

Tukiwa tunaendelea kuugulia na kujifariji kwa yale yaliyotokea jana kwa timu yetu ya taifa (Tanzania) dhidi ya Morroco, leo nakupa wataalamu wa hat tricks tokea mashindano haya yameanzishwa kama ifuatavyo;

1. Ad-Diba (1957)

2. Mahmoud El-Gohary (1959)

3. Mohamed Morsi Hussein (1963)

4. Hassan El-Shazly (1963)

5. Eustache Manglé (1963)

6. Hacène Lalmas (1968)

7. Laurent Pokou (1970)

8. Hassan El-Shazly (1970)

9. Bernard Chanda (1974)

10. Joël Tiéhi (1994)

11. Kalusha Bwalya (1996)

12. Benedict McCarthy (1998)

13. Hossam Hassan (1998)

14. Patrick Mboma (2004)

15. Samuel Eto'o (2006)

16. Francileudo dos Santos (2006)

17. Soufiane Alloudi (2008)

18. Emilio Nsue (2024)

Ndio, leo Emilio Nsue wa timu ya taifa ya EQUATORIAL GUINEA amekuwa mchezaji wa 18 kufunga magoli matatu (hat-trick) ndani ya mchezo mmoja akicheza dhidi ya GUINEA BISSAU.

Je? Unadhani mchezaji gani mwingine unafikiri atafunga goli tatu katika mashindano haya? Tuendelee kuinjoy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom