Taifa stars haikifuzu AFCON

baba aura

JF-Expert Member
Aug 5, 2023
230
348
Wakuu habar ,tuwekane wazi kabisa na wala si kuwatupia lawama wachezaji au kocha ilihali mnajua timu yetu ni mbovu tu miaka nenda miaka rudi mpaka siku za kalenda

Hii timu ingekuwa imefuzu wala isingefungwa na morocco na wala hatafungwa na congo au zambia na tena ingeweza vuka group stage

Na tukitaka ifuzu basi muwapeleke ball boys walioisaidia taifa stars kufuvu
 
Imeendaje huko Ivory Coast
 
Ukimuona Kobe Yuko juu ya mti ujue kapandishwa,
Mechi ya mwisho Taifa star Ili ifuzu Afcon ilihitaki point moja kutoka kwa Morocco,ni kweli ilipewa point moja,matumda yake ndio tunayavuna sasa.
ni algeria siyo mar.
 
Hakuna timu hapo, mpaka siku tutakapokubali kupeleka watoto academy za man u nk kwa gharama za TFF
 
Naskia kabla ya mechi kuanza, Mwana FA alienda kuongeza nguvu kwenye kikosi
Source: EATV

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Nchi Ina vitu vya ajabu Sana!, Yaani mwijaku na baba levo ati nao ni wahamasishaji wa Mambo ya kitaifa kabisa!.
 
Wakuu habar ,tuwekane wazi kabisa na wala si kuwatupia lawama wachezaji au kocha ilihali mnajua timu yetu ni mbovu tu miaka nenda miaka rudi mpaka siku za kalenda

Hii timu ingekuwa imefuzu wala isingefungwa na morocco na wala hatafungwa na congo au zambia na tena ingeweza vuka group stage

Na tukitaka ifuzu basi muwapeleke ball boys walioisaidia taifa stars kufuvu
Ushoga hauwezi kuisha kwa style hii,mtoto wa kiume kujiropokesha nonsence mbele ya hadhara ni kujivua nguo hadharani,
Umeandika upupu gani sasa huo?kwahiyo waliofuzu AFCON wote lazma wapite group stage?sasa bingwa atapatikanaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom