AFCON 2024: Wanasiasa wamepanga kikosi cha timu ya Taifa. Je, Manula, Samata na Shabalala ni wa kuanza mechi dhidi ya Morroco?

Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
638
1,902
Sikushangaa kusikia Waziri wa michezo akisema hata wao huwa wanamuuliza kocha kwanini amemuacha Shabalala na Feitoto lakini majibu ya kocha yanawaridhisha.

Wakati wa kocha Amunike pale Misri,Wabunge wakiongozwa na ndugai walienda kumpangia kocha Amunike nani acheze au asicheze na alipokataa wakaja bungeni wanalalamika kocha amewadharau.

Sasa kocha kaamua kuwasikiliza wanasiasa kwa kumuweka Manula na Shabalala kwenye mechi na Morroco

Leo kwenye Afcon tumekula vyuma 3 kwa 0.

Shabalala beki aliyechoka sana ameshafikia ile hatua ya mkenya onyango ,Shabalala ni mzee na hana mbio tena

Manula bado mgonjwa na alishatumika sana lakini wanasiasa wanamtaka Manula

Samata mtu umri ulishamtupa mkono bado unalazimisha awe kapteni wa timu,Kuna vijana wengi wa kucheza kama akina Kibu Dennis.

Kocha mwenye akili timamu huwezi kimuweka golini Manula na beki shabalala.

Kelele za wanasiasa ndio zinatugharimu.

Timu ya Taifa watu wanashangilia ifungwe kwasababu hawajaridhika na watu kupangwa ambao hawakuipigania timu yao.

Sasa yule Allakhia mwenye asili ya uhindi pale uwanjani alikuwa anacheza kitu gani?

Timu badala ya kujikita kwenye maandalizi, Wanasiasa wameigeuza timu sehemu ya kutoa hotuba zao ,kila mwanasiasa anaongea na Taifa Stars na kocha.

Sasa kocha leo amewawekea watu wenu wa kisiasa Manula, Shabalala, Feitoto na Samata.
 
Sikushangaa kusikia Waziri wa michezo akisema hata wao huwa wanamuuliza kocha kwanini amemuacha Shabalala na Feitoto lakini majibu ya kocha yanawaridhisha

Wakati wa kocha Amunike pale Misri,Wabunge wakiongozwa na ndugai walienda kumpangia kocha Amunike nani acheze au asicheze na alipokataa wakaja bungeni wanalalamika kocha amewadharau

Sasa kocha kaamua kuwasikiliza wanasiasa kwa kumuweka Manula na Shabalala kwenye mechi na Morroco

Shabalala beki aliyechoka sana ameshafikia ile hatua ya mkenya onyango ,Shabalala ni mzee na hana mbio tena

Manula bado mgonjwa na alishatumika sana lakini wanasiasa wanamtaka Manula

Kocha mwenye akili timamu huwezi kimuweka golini Manula na beki shabalala

Kelele za wanasiasa ndio zinatugharimu
Unawakosea watu heshima
Jenga hoja yako bila malalamishi
Ni kweli uwezo wa manula umepungua sana
 
Sikushangaa kusikia Waziri wa michezo akisema hata wao huwa wanamuuliza kocha kwanini amemuacha Shabalala na Feitoto lakini majibu ya kocha yanawaridhisha

Wakati wa kocha Amunike pale Misri,Wabunge wakiongozwa na ndugai walienda kumpangia kocha Amunike nani acheze au asicheze na alipokataa wakaja bungeni wanalalamika kocha amewadharau

Sasa kocha kaamua kuwasikiliza wanasiasa kwa kumuweka Manula na Shabalala kwenye mechi na Morroco

Leo kwenye Afcon tumekula vyuma 3 kwa 0

Shabalala beki aliyechoka sana ameshafikia ile hatua ya mkenya onyango ,Shabalala ni mzee na hana mbio tena

Manula bado mgonjwa na alishatumika sana lakini wanasiasa wanamtaka Manula

Samata mtu umri ulishamtupa mkono bado unalazimisha awe kapteni wa timu,Kuna vijana wengi wa kucheza kama akina kibu Dennis

Kocha mwenye akili timamu huwezi kimuweka golini Manula na beki shabalala

Kelele za wanasiasa ndio zinatugharimu

Timu ya Taifa watu wanashangilia ifungwe kwasababu hawajaridhika na watu kupangwa ambao hawakuipigania timu yao

Sasa yule Allakhia mwenye asili ya uhindi pale uwanjani alikuwa anacheza kitu gani?

Timu badala ya kujikita kwenye maandalizi ,Wanasiasa wameigeuza timu sehemu ya kutoa hotuba zao ,kila mwanasiasa anaongea na Taifa Stars na kocha

Sasa kocha leo amewawekea watu wenu wa kisiasa Manula ,Shabalala,Feitoto na Samata
Hapo na unataka kumpangia kocha
 
Ulichokiandika ni ukweli mtupu, haingii akilini kocha professional kupanga kikosi kama cha leo. Wanasiasa wanapanga nani acheze huku wakijiandaa kumpongeza rais kwa ushindi
 
Kocha alikuwa na kikosi kipana gafla akaleta mageuzi !
 
Attachments

  • 309D0559-6663-4C03-AAFA-B0BE9BCD02F0.jpeg
    309D0559-6663-4C03-AAFA-B0BE9BCD02F0.jpeg
    95.3 KB · Views: 2
  • 620FBF12-19AF-4AE9-A09B-235D761A0A81.jpeg
    620FBF12-19AF-4AE9-A09B-235D761A0A81.jpeg
    113.2 KB · Views: 3
Na yule muhindi wa kumuanzisha kweli.
Hawa vijana wa ughaibuni nani alileta idea yakuwavuta bongo. Sisi wakutengeneza timu, kipindi karibu na afcon serious. Mtu haijui africa, yupo ligi level ya tano huko
Mkuu Tanzania inapenda sifa za kijinga....na wao wanataka wachezaji wao wawe na sifa eti fulani anacheza nje kama nchi zingine.
you politicians football is all about investments,passion and engagement.
Tuachieni timu yetu si mna timu yenu ya bunge mbona haijawahi kutwaa ubingwa wa mashindano ya mabunge afrika?
 
Sikushangaa kusikia Waziri wa michezo akisema hata wao huwa wanamuuliza kocha kwanini amemuacha Shabalala na Feitoto lakini majibu ya kocha yanawaridhisha

Wakati wa kocha Amunike pale Misri,Wabunge wakiongozwa na ndugai walienda kumpangia kocha Amunike nani acheze au asicheze na alipokataa wakaja bungeni wanalalamika kocha amewadharau

Sasa kocha kaamua kuwasikiliza wanasiasa kwa kumuweka Manula na Shabalala kwenye mechi na Morroco

Leo kwenye Afcon tumekula vyuma 3 kwa 0

Shabalala beki aliyechoka sana ameshafikia ile hatua ya mkenya onyango ,Shabalala ni mzee na hana mbio tena

Manula bado mgonjwa na alishatumika sana lakini wanasiasa wanamtaka Manula

Samata mtu umri ulishamtupa mkono bado unalazimisha awe kapteni wa timu,Kuna vijana wengi wa kucheza kama akina kibu Dennis

Kocha mwenye akili timamu huwezi kimuweka golini Manula na beki shabalala

Kelele za wanasiasa ndio zinatugharimu

Timu ya Taifa watu wanashangilia ifungwe kwasababu hawajaridhika na watu kupangwa ambao hawakuipigania timu yao

Sasa yule Allakhia mwenye asili ya uhindi pale uwanjani alikuwa anacheza kitu gani?

Timu badala ya kujikita kwenye maandalizi ,Wanasiasa wameigeuza timu sehemu ya kutoa hotuba zao ,kila mwanasiasa anaongea na Taifa Stars na kocha

Sasa kocha leo amewawekea watu wenu wa kisiasa Manula ,Shabalala,Feitoto na Samata
muhindi yupo ligi daraja la 5 ila anapata namba timu ya taifa......hadi wazungu wameshangaa
 
Back
Top Bottom