Nusu fainali Ngao ya Jamii kwa upande wa Wanawake inapigwa leo katika dimba la KMC Compex, Mwenge hapa inawakutanisha Simba Queens dhidi ya Yanga Princess.
Mshindi katika mchezo huu atakutana na...
Licha ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia, Cape Verde imeendelea kuonesha ushindani mkubwa. Katika mechi zake nne zilizopita ilifanikiwa kupata matokeo ya kuvutia dhidi ya timu kubwa kama:
Spain...
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu.
Kwa sasa hata wakitaka...
Premier League imethibitisha kwamba Tume Huru ya Uchunguzi imebaini kuwa Manchester City ina hatia kwa mashtaka yote yanayohusiana na ukiukaji mkubwa wa kanuni za kifedha za Premier League kwa...
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.
This is the most expensive bike in the...
Ligi Kuu ya England imethibitisha kuwa Tume Huru imeikuta Manchester City na hatia ya makosa yote yanayohusiana na ukiukaji mkubwa wa kanuni za kifedha za Premier League kwa kipindi cha misimu...
Taifa Stars ipo ugenini ikimenyana na Madagascar katika mchezo wa pili wa Kundi L wa kufuzu AFCON 2027. Hadi sasa timu hizo ziko sare ya bao 1-1; Charles Kachwele aliitanguliza Tanzania dakika ya...
Has anyone used Melbet for sports betting? I’m interested in general feedback: how good is the user interface, how quickly are the odds updated during live events, is it easy to use on a mobile...
Amepuliza kipyenge kwenye mechi ya kimataifa ya kufuzu AFCON 2027 kati ya Tunisia na Botswana.
Ungekuwa unachezesha kama ulivyochezesha kwenye mechi hii..Utopolo wasingekuwa wanatufunga.
Hongera.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye, Paul Makonda, amefanya ziara ya kikazi nchini Hispania ambapo ametembelea Jiji la Barcelona na kukutana ana kwa ana na nyota kijana wa mpira...
Bilionea, mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji, ameandika kupitia ukurasa wake wa Threads akisema historia imeonyesha kuwa hatari kubwa kwa taasisi haitokani na wakosoaji wa...
Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Michezo Nchini Wilson Oruma (Mzee wa Jambia ameibua mapya kuhusu mwenendo usioridhisha wa matokeo ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars)...
JIKUSANYENI WOOOOOTE!
Niwaandikie mshororo wa vina isiyo na mizani, niwaeleze kuhusu furaha ya soka na uchungu mkubwa wa mapenzi ya mpira wa miguu.
Ndio ule uchungu wa kuumizwa pale unapokuwa na...
Mwanariadha nyota wa Tanzania wa Marathon, Gabriel Geay amevuna kiasi cha Sh30 milioni kwa kumaliza katika nafasinya tatu kwenye mbio za Berlin Marathon zilizofanyika leo Jumapili, Septemba 27...
Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal?
Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026
Mbona leo Tena uwanjani...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Taarifa za kiintelejensia zilizopo ni kwamba Bwana Paulo Makonda ameazimia kutumia kila rasilimali aliyo nayo kuhakikisha kwamba anafyatua jezi mpya za timu ya taifa...
Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea!
Kwa sheria hii, mshambuliaji...
Rui Pinto ni jina ambalo huenda mashabiki wengi wa Manchester City hawalijui na wasilipende kuliskia, lakini nyaraka za siri alizovujisha zilisaidia kufichua mambo ya ndani ya klabu hiyo na...