Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Miguel Gamondi, amesema uwepo wa wachezaji 12 wa kigeni katika Ligi Kuu ya NBC unapunguza nafasi kwa wachezaji wazawa kupata muda wa kucheza na...
Mtangazaji wa Wasafi Media kipindi cha 'Good Morning', Gerald Hando, ameweka wazi msimamo wake wa kutokuvutiwa na muundo (design) wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars...
Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi...
Ujenzi wa uwanja mpya na wa kisasa wa mpira wa miguu jijini Dodoma unaendelea kushika kasi kubwa chini ya usimamizi wa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo...
Mimi ni shabiki wa timu ya Simba SC Tanzania. Kuna jambo ambalo linanikera sana na ningependa kulifikisha kwa uongozi wa klabu. Si kuhusu suala la Mangungu wala fedha zilizopo benki, bali ni...
Huu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya...
Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON.
Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango...
Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku ametoa ufafanuzi kuhusu sintofahamu iliyojitokeza juu ya ubora wa jezi za Timu ya Taifa, huku...
Nilikuwa naona aibu kuona timu ya serikali imevalishwa fulana badala ya jezi. Nilikuwa namuoenea huruma Rais wa TFF kavaa tambala badala ya jezi.
Mwanzo nilimkataa Sanda kwakuwa alikuwa anatoa...
Jopo la Wanasheria likiongozwa na Wakili Cletus Nziku amesema kauli iliyotolewa kuhusu Jezi za Timu ya Taifa ni kauli ambayo imeichafua Chapa ya Sandaland pamoja na kuvunja uaminifu wa Sandaland...
Katika podcasts na Fatma Dewji. Jamaa kafunguka how alibreak generational curse. Your background does not define you.
🗣️"Kiukweli ukitokea Kalksteenfontein, ni eneo ambalo sio rahisi kwa ukuaji...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka wadau na jamii kuelekeza nguvu zao kwenye mijadala ya kujenga badala ya kushambulia personalities za viongozi, akisisitiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.