Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,034
- 6,891
Taifa Stars ipo ugenini ikimenyana na Madagascar katika mchezo wa pili wa Kundi L wa kufuzu AFCON 2027. Hadi sasa timu hizo ziko sare ya bao 1-1; Charles Kachwele aliitanguliza Tanzania dakika ya 39 kabla ya Nicolas Fontaine kuisawazishia Madagascar dakika ya 50.
Stars imeingia katika mchezo huu ikitafuta matokeo mazuri baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa mabao 2-0 dhidi ya Guinea-Bissau.
Kwa matokeo ya Madagascar 1–1 Tanzania, msimamo wa muda wa Kundi L uko hivi:
Lakini baada ya mechi hii ya Kundi L, kuna mtanange mwingine unaosubiriwa kwa hamu!
Guinea-Bissau 🆚 Nigeria
Ni vita ya pointi 3 katika Kundi L, huku timu zote zikiwa zimeanza kampeni kwa ushindi.
Nani ataibuka na ushindi?

| Nafasi | Timu | Mechi | Pointi |
|---|---|---|---|
| 1 | Guinea-Bissau | 1 | 3 |
| 2 | Nigeria | 1 | 3 |
| 3 | Madagascar | 2 | 1 |
| 4 | Tanzania 🇹🇿 | 2 | 1 |