Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kiungo wa Klabu ya Real Madrid Jude Bellingham ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Timu ya Taifa ya England kwa msimu wa 2025/26, baada ya kupata kura nyingi zaidi kutoka kwa mashabiki kupitia...
2 Reactions
3 Replies
101 Views
Mwenyekiti wa Ardhi Sports Club, Bw. Swagile Msananga, amewataka wanamichezo wa Michezo ya Jadi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutumia ujuzi walioupata, kucheza kwa utulivu na...
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu. Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba...
18 Reactions
157 Replies
5K Views
Furaha yangu ni kuona Taifa Stars inateseka. Huu ni mwanzo tu. Bahati yenu AFCON mwaka huu haitakuwepo maana kutakuwa na maandamano ya kudai uchaguzi vinginevyo mngefungwa mechi zote.
8 Reactions
7 Replies
272 Views
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi...
5 Reactions
112 Replies
2K Views
Kwanza, kwenye mada hii nitaanza na kusema kwamba salamu kwenu wote ziwafikie popote mlipo. Pili, nina jambo langu muhimu nataka kushea na nyinyi wote. Najua humu mpo wengi sana. Tatu, mada hii...
3 Reactions
13 Replies
226 Views
Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Miguel Gamondi, amesema uwepo wa wachezaji 12 wa kigeni katika Ligi Kuu ya NBC unapunguza nafasi kwa wachezaji wazawa kupata muda wa kucheza na...
8 Reactions
20 Replies
461 Views
Mtangazaji wa Wasafi Media kipindi cha 'Good Morning', Gerald Hando, ameweka wazi msimamo wake wa kutokuvutiwa na muundo (design) wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars...
2 Reactions
11 Replies
353 Views
Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
  • Redirect
Mechi tamu hii ya kuitazama
0 Reactions
– Replies
– Views
Simba na Yanga zinapelekwa Zanzibar. Je, timu ya taifa nayo ityapelekwa huko?
2 Reactions
3 Replies
124 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi...
1 Reactions
1 Replies
102 Views
Ujenzi wa uwanja mpya na wa kisasa wa mpira wa miguu jijini Dodoma unaendelea kushika kasi kubwa chini ya usimamizi wa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo...
1 Reactions
14 Replies
462 Views
Anonymous
Mimi ni shabiki wa timu ya Simba SC Tanzania. Kuna jambo ambalo linanikera sana na ningependa kulifikisha kwa uongozi wa klabu. Si kuhusu suala la Mangungu wala fedha zilizopo benki, bali ni...
4 Reactions
1 Replies
84 Views
Huu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri. Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya...
15 Reactions
33 Replies
810 Views
Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON. Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango...
0 Reactions
14 Replies
139 Views
  • Featured
Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku ametoa ufafanuzi kuhusu sintofahamu iliyojitokeza juu ya ubora wa jezi za Timu ya Taifa, huku...
14 Reactions
65 Replies
1K Views
Nilikuwa naona aibu kuona timu ya serikali imevalishwa fulana badala ya jezi. Nilikuwa namuoenea huruma Rais wa TFF kavaa tambala badala ya jezi. Mwanzo nilimkataa Sanda kwakuwa alikuwa anatoa...
4 Reactions
15 Replies
267 Views
Back
Top Bottom