Has anyone used Melbet for sports betting? I’m interested in general feedback: how good is the user interface, how quickly are the odds updated during live events, is it easy to use on a mobile...
Amepuliza kipyenge kwenye mechi ya kimataifa ya kufuzu AFCON 2027 kati ya Tunisia na Botswana.
Ungekuwa unachezesha kama ulivyochezesha kwenye mechi hii..Utopolo wasingekuwa wanatufunga.
Hongera.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye, Paul Makonda, amefanya ziara ya kikazi nchini Hispania ambapo ametembelea Jiji la Barcelona na kukutana ana kwa ana na nyota kijana wa mpira...
Bilionea, mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji, ameandika kupitia ukurasa wake wa Threads akisema historia imeonyesha kuwa hatari kubwa kwa taasisi haitokani na wakosoaji wa...
Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Michezo Nchini Wilson Oruma (Mzee wa Jambia ameibua mapya kuhusu mwenendo usioridhisha wa matokeo ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars)...
JIKUSANYENI WOOOOOTE!
Niwaandikie mshororo wa vina isiyo na mizani, niwaeleze kuhusu furaha ya soka na uchungu mkubwa wa mapenzi ya mpira wa miguu.
Ndio ule uchungu wa kuumizwa pale unapokuwa na...
Mwanariadha nyota wa Tanzania wa Marathon, Gabriel Geay amevuna kiasi cha Sh30 milioni kwa kumaliza katika nafasinya tatu kwenye mbio za Berlin Marathon zilizofanyika leo Jumapili, Septemba 27...
Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal?
Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026
Mbona leo Tena uwanjani...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Taarifa za kiintelejensia zilizopo ni kwamba Bwana Paulo Makonda ameazimia kutumia kila rasilimali aliyo nayo kuhakikisha kwamba anafyatua jezi mpya za timu ya taifa...
Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea!
Kwa sheria hii, mshambuliaji...
Rui Pinto ni jina ambalo huenda mashabiki wengi wa Manchester City hawalijui na wasilipende kuliskia, lakini nyaraka za siri alizovujisha zilisaidia kufichua mambo ya ndani ya klabu hiyo na...
Shabiki Mwandamizi wa klabu ya Yanga Mzee Mpili Afariki Dunia, Mzee Mpili Amefariki Dunia wakati akipatiwa Matibabu katika hospital ya ikwiriri huko Rufiji mkoani Pwani.
Uongozi wa Young Africans...
Kesi ya kifedha ya Manchester City inaendelea kuibua mjadala mkubwa England. Makadirio ya kampuni ya takwimu ya OLBG, yaliyonukuliwa na The Sun, yanaonyesha kuwa City inaweza kudaiwa zaidi ya...
LEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.
Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba...
Huyu ni muimbaji wa nyimbo za asili kutoka Mbeya. Ana sauti ya kuvutia na muziki mzuri wa asili unaovutia kusikiliza hata kama huelewi anachoimba.
Achaneni na hayo mabongo fleva ,sijui amapiano...
Manchester City imeripotiwa kupatikana na hatia katika mashtaka 114 kati ya 115 ya ukiukaji wa kanuni za kifedha za Premier League, kufuatia uchunguzi wa ligi hiyo.
City ilishtakiwa kwa mara ya...
Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha...
Utawala wa Sheria Ushinde: Kila Mtanzania Anunue Jezi Halisi ya Taifa Stars Kutoka Sandaland!
Katika nchi inayoongozwa na misingi ya sheria, maoni binafsi ya kiongozi hayawezi kamwe kuwa juu ya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema jezi za timu za taifa zilizozinduliwa ni jezi mbaya sana hazina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.