Giovanni Mugillanetza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 930
- 1,935
Mtu alikufa na kuoza akiwa kasimama.
Wewe Mfalme Juha weweUmetumwa au?
Grnge la Mafia lilimtizama kama maiti kwenye foleniHow?
Bado sielewiGrnge la Mafia lilimtizama kama maiti kwenye foleni
Ningeandika habari za Kajala masanja aaaah.Bado sielewi
😹😹 Mnavuta hp Msikitini leo ?Bangi mbichi.
Si ndio👌🏽Ningeandika habari za Kajala masanja aaaah.
Mpira mchezo mgumu sana saana.Huyo ni Roberto Baggio ndani ya uwanja wa Rose Bowl Pasadena Los Angeles 1994 world cup dhidi ya Brazil alikosa penati na brazili ikawa bingwa apo alikuwa anajutia na kusikitika sana, pamoja na kuibeba Italy kwa mgongo wake mpaka fainali hiyo lakini ndiye aliyekosa decisive penalty, bahati yake hakuuwawa kama yule jamaa wa Colombia Andres Escobar
Wahi kesi ya Lissu hk waachie wahuni.Si ndio👌🏽
Mechi iliisha 0-0Huyo ni Roberto Baggio ndani ya uwanja wa Rose Bowl Pasadena Los Angeles 1994 world cup dhidi ya Brazil alikosa penati na brazili ikawa bingwa apo alikuwa anajutia na kusikitika sana, pamoja na kuibeba Italy kwa mgongo wake mpaka fainali hiyo lakini ndiye aliyekosa decisive penalty, bahati yake hakuuwawa kama yule jamaa wa Colombia Andres Escobar
Sahihi mkuuMechi iliisha 0-0
Kwenye Penalties Brazil alishinda 3-2
Mda mwingine unaletaga matukio au matokeo yenye kuumiza hisiaMpira mchezo mgumu sana saana.
Duhhhhh!!!