Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku, amesema mkataba kati ya kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unapaswa...
Sitaki kuwachosha ila kuna maamuzi yalufanywa na watu wanaoongoza mpira ambao elimu zao ya chinibni degree.
1. Kwamba mchezaji wa nje atakayesajiliwa na timu zetu,awe anacheza timu ya taifa ya...
Na hawa Viongozi wa Simba SC mmoja akiwa bado Madarakani na mwingine alishaacha na Simba SC ndiyo SUMU / VIRUSI Wakuu wa Simba SC na kutwa ndiyo wanatuumiza mbele ya Yanga SC kwa Kuuza Siri za...
Makubaliano hayo yanajumuisha kuongezewa mshahara kwa Arteta kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika misimu ya hivi karibuni, huku akiendelea kuwa sehemu muhimu ya mradi wa Arsenal. 🤝🏼
Soma Pia...
Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza nia ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi...
Azam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu
Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo...
Klabu ya Simba Sc leo, Septemba 16, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani kukabiliana na Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu wa 2026/27.
Simba inaingia katika mchezo huo...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
Mawazo kina yametawala kichwa changu, ila uwezo Sina kulitawala jicho langu,
Hii ni baadhi ya mistari kutoka Kwa ally nipishe kijana alie wika sana enzi hizo, huyu dogo alipata masala, Iko hivi...
Hatimaye the long wait is over Rodri ndani ya uzi wa Barça.
Barça itakuwa na kiungo kikali sana kati mkata umeme Rodri pembeni akiwepo Pedri na Dani Olmo na mtoto wa Kidachi FDJ kmmk
Leo game ya...
Wakuu I salute you kinsmen
Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu.
Mosi
Wakuu...
Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja.
Engineer...
Hakuna siri ya kushinda Aviator — lakini kuna njia za busara za kudhibiti bankroll yako na kufurahia sessions ndefu zaidi.
Utafute "mikakati ya Aviator" na utapata kurasa mamia zinazoahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.