Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

  • Featured
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza...
19 Reactions
136 Replies
3K Views
Kweli dunia haiko fair. Wakati goti wa kuvundika anafurushwa timu ya taifa kwa dharau the real GOAT Lionel Messi(LM10) anapewa degree ya heshima na chuo kikuu cha Aeres Buenos kama utambuzi wa...
5 Reactions
13 Replies
129 Views
Mpira unachezeka hapa. Ronaldo abakie kucheza kistar uarabuni. Team nzima under-30. Mafaza at least wakina Silva wana 31. Huyu 40s hapana.
1 Reactions
6 Replies
110 Views
Nampongeza sana kocha mpya wa Ureno kukataa kupelekeshwa na mtu aliezeeka mda wake umeisha lakini Bado analazimisha kucheza mpira. Wakati mwenzake kule Argentina anaagwa kwa heshima baada ya...
13 Reactions
60 Replies
773 Views
Leo nataka nitikise meza ya vinywaji vya gharama kubwa maana watoto wanazungumza kuwa whiskey ndio kinywaji cha gharama kubwa zaidi, sipo mbali nao ila acha niwaambie football ndio kilevi hatari...
1 Reactions
6 Replies
96 Views
Mtu alikufa na kuoza akiwa kasimama.
4 Reactions
20 Replies
369 Views
Nusu fainali Ngao ya Jamii kwa upande wa Wanawake inapigwa leo katika dimba la KMC Compex, Mwenge hapa inawakutanisha Simba Queens dhidi ya Yanga Princess. Mshindi katika mchezo huu atakutana na...
4 Reactions
17 Replies
228 Views
Licha ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia, Cape Verde imeendelea kuonesha ushindani mkubwa. Katika mechi zake nne zilizopita ilifanikiwa kupata matokeo ya kuvutia dhidi ya timu kubwa kama: Spain...
0 Reactions
10 Replies
252 Views
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka...
8 Reactions
15 Replies
299 Views
Premier League imethibitisha kwamba Tume Huru ya Uchunguzi imebaini kuwa Manchester City ina hatia kwa mashtaka yote yanayohusiana na ukiukaji mkubwa wa kanuni za kifedha za Premier League kwa...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Ligi Kuu ya England imethibitisha kuwa Tume Huru imeikuta Manchester City na hatia ya makosa yote yanayohusiana na ukiukaji mkubwa wa kanuni za kifedha za Premier League kwa kipindi cha misimu...
2 Reactions
4 Replies
146 Views
Taifa Stars ipo ugenini ikimenyana na Madagascar katika mchezo wa pili wa Kundi L wa kufuzu AFCON 2027. Hadi sasa timu hizo ziko sare ya bao 1-1; Charles Kachwele aliitanguliza Tanzania dakika ya...
0 Reactions
21 Replies
426 Views
Has anyone used Melbet for sports betting? I’m interested in general feedback: how good is the user interface, how quickly are the odds updated during live events, is it easy to use on a mobile...
0 Reactions
7 Replies
76 Views
Amepuliza kipyenge kwenye mechi ya kimataifa ya kufuzu AFCON 2027 kati ya Tunisia na Botswana. Ungekuwa unachezesha kama ulivyochezesha kwenye mechi hii..Utopolo wasingekuwa wanatufunga. Hongera.
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye, Paul Makonda, amefanya ziara ya kikazi nchini Hispania ambapo ametembelea Jiji la Barcelona na kukutana ana kwa ana na nyota kijana wa mpira...
10 Reactions
73 Replies
965 Views
Bilionea, mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji, ameandika kupitia ukurasa wake wa Threads akisema historia imeonyesha kuwa hatari kubwa kwa taasisi haitokani na wakosoaji wa...
6 Reactions
12 Replies
409 Views
Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Michezo Nchini Wilson Oruma (Mzee wa Jambia ameibua mapya kuhusu mwenendo usioridhisha wa matokeo ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars)...
5 Reactions
17 Replies
356 Views
JIKUSANYENI WOOOOOTE! Niwaandikie mshororo wa vina isiyo na mizani, niwaeleze kuhusu furaha ya soka na uchungu mkubwa wa mapenzi ya mpira wa miguu. Ndio ule uchungu wa kuumizwa pale unapokuwa na...
1 Reactions
1 Replies
47 Views
Mwanariadha nyota wa Tanzania wa Marathon, Gabriel Geay amevuna kiasi cha Sh30 milioni kwa kumaliza katika nafasinya tatu kwenye mbio za Berlin Marathon zilizofanyika leo Jumapili, Septemba 27...
1 Reactions
5 Replies
134 Views
Back
Top Bottom