BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,406 Reaction score 6,921 Tuesday at 12:38 AM #1 Amepuliza kipyenge kwenye mechi ya kimataifa ya kufuzu AFCON 2027 kati ya Tunisia na Botswana. Ungekuwa unachezesha kama ulivyochezesha kwenye mechi hii..Utopolo wasingekuwa wanatufunga. Hongera.
Amepuliza kipyenge kwenye mechi ya kimataifa ya kufuzu AFCON 2027 kati ya Tunisia na Botswana. Ungekuwa unachezesha kama ulivyochezesha kwenye mechi hii..Utopolo wasingekuwa wanatufunga. Hongera.
danceforme JF-Expert Member Joined Aug 3, 2026 Posts 412 Reaction score 1,024 Tuesday at 12:41 AM #2 Ata,kuambia Hali ya Hewa