Usipokula hela kwenyw betting wiki hii hutokula tena maishani mwako

Uko sahihi 10000℅ bet ushindi kwa Simba utapiga hela ila kwa Yanga nisidanganye bado ndwindwi haijasoma
 
images (1)-1.jpeg
 
Mmh labda Simba unaweza ukampa ashinde maana anauzoefu ila Yanga utaliwa pesa yako.!
 
ili hizi timu zetu ziende nusu fainali, game za nyumbani zishinde kwa tofauti ya zaidi ya goli 2 ama 3
 
Back
Top Bottom