Mamelodi ni Malumo Gallants waliochangamka

Me ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Unataka kuwajaza wana Yanga kwenye huu uzi ili baadae uje kutumia risiti zao, hata kama Yanga ikitokea ikamtoa Mamelod, watakuwa wamemtoa timu bora kwasasa ambaye ni bingwa wa African football league msimu huu. Mamelod sio timu ya kawaida ni timu bora kwasasa
 
Mamelodi Sundowns’s traveling squad list for the game Young Africans.

Williams,February, Onyango

Zungu Lebusa Lunga Zuko Rushine Coetzee Mudau.,Mvala, Brian Onyango, Grant

Zwane, Mokoena, Allende, Sirino Mathews, Maema Maboe, Mbule, Modiba, Bathusi, Mkhulise

Morena, Matias, Maseko Shalulile Lucas Rebeiro, Nku, Lorch

This is the team which is traveling tomorrow to Tanzania do you see how hard to be Rulani Mokoena he just need 18 players out of all these players to start agaiYoung Africans Sports Clububub

We love you so much Coach.
 
full squad Mungu wangu.😁
 
Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Naunga mkono hoja daima mbele na nyuma pia naunga palipo na mwiko
 
Me ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Usimdharau mamelody hivo, ukienda na hii mentality atakuadhibu vibaya sana, mpe heshima yake na ucheze kwa nidhamu, ni moja ya timu tishio kwa sasa barani Africa
 
Unataka kuwajaza wana Yanga kwenye huu uzi ili baadae uje kutumia risiti zao, hata kama Yanga ikitokea ikamtoa Mamelod, watakuwa wamemtoa timu bora kwasasa ambaye ni bingwa wa African football league msimu huu. Mamelod sio timu ya kawaida ni timu bora kwasasa
Upo sahihi, Mungu awasaidie yanga
 
Me ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Ushanusa hali ya hatari unaanza kujimegea kipande chako mapema, Timu zote zinazocheza na yanga zitaendelea kuonekana za kawaida kwa lazima mpaka mseme na mtasema!
 
Back
Top Bottom