Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua...
1 Reactions
11 Replies
287 Views
  • Featured
Akizungumza katika jukwaa la CNBC la Invest in America, Infantino, Aprili 15, 2026, alisema ni muhimu kwa Iran kushiriki michuano hiyo hata kama ushiriki wake umekuwa na mashaka tangu Marekani na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kelele za ndege wenye njaa kutoka msimbazi zimekuwa nyingi sana hadi sasa. Mara hoo Daima Mbele Nyuma Mwiko Yanga SC wananunua mechi, yani hapo bado amjabwatuka wa puuzi! Sasa Mei 3...
1 Reactions
3 Replies
183 Views
Jamaa analijua goli? Goli 21 EPL akiwa na Brentford! Brazil wana striker bora zaidi ya huyu?
1 Reactions
1 Replies
158 Views
Kuna hii kashfa kuwa kajamaa ni kadikteta🤣 Kashfa hii ina msingi wowote?
1 Reactions
11 Replies
467 Views
Mpaka sasa hivi msimamo wa first ten huko hivi Yanga ina wawakilishi wanne; JKT ina wawili, Azam, Simba, Dodoma jiji na Namungo wana mmoja mmoja kila mmoja.
2 Reactions
3 Replies
704 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba leo, Ijumaa, Aprili 17, 2026, ametoa maagizo mawili kwa wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Uwanja wa soka wa Arusha utakaotumika...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Yanga imefanikiwa kuifunga Mbeya City United magoli 6-0 kwenye Uwanja wa KMC, hivyo kufikisha pointi 47 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi 8 dhidi ya Simba inayoshika nafasi...
6 Reactions
17 Replies
618 Views
Alex Manninger, golikipa wa zamani aliyesaidia Arsenal kushinda mataji mawili (Double) mwaka 1998, amefariki dunia katika ajali ya gari nchini Austria akiwa na umri wa miaka 48. Klabu yake ya...
0 Reactions
2 Replies
214 Views
Mechi kati ya Simba inaendelea muda huu Simba wakiwa mbele kwa bao 2 dhidi ya Fountain gate. Simba yupo ugeninim, Goli kwanza limefungwa na Chama, la pili limefungwa na Gueye. Na sasa ni kipindi...
0 Reactions
5 Replies
302 Views
Wachezaji wawili wa Klabu ya Simba, Yusuph Kagoma na Shomari Kapombe, wataikosa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate FC kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano. Mchezo huo...
3 Reactions
5 Replies
242 Views
Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu...
2 Reactions
16 Replies
444 Views
Shakibi mmoja wa Arsenal nchini Uganda ameshindwa kuvumilia matokea mabaya inayopata timu na ameichapa notice ya malalamiko na kudai kuwa atachukua hatua za kisheria dhidi ya Klabu, wachezaji...
0 Reactions
6 Replies
305 Views
Mkazi wa Kijiji cha Lyamrakana wilayani moshi vijijini mkoani Kilimanjaro ajulikanaye kwa jina la Jonathan, amekutwa amefariki (amejiua) huku akiacha ujumbe wa kuwahasa na kuwaonya vijana...
9 Reactions
50 Replies
968 Views
Mashabiki 18 wa soka wa Senegal waliowekwa jela kwa kosa la kuingia uwanjani wakati wa fainali ya fujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kule Rabat mwezi Januari 2026, wamekana kuhusika na...
3 Reactions
1 Replies
210 Views
Je mmegundua kuna hali ya utulivu majumbani, makazini, vijiweni, mashuleni n.k. Arsenal ingeshinda hii wikendi, Man city kufungwa kusingekuwa na hii hali. Tuzidi kuomba hii hali ya utulivu...
5 Reactions
11 Replies
283 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kabla ya yote nikubali ya kwamba Mimi ni shabiki na mkereketwa wa timu ya Yanga!,hivyo nitakachokiandika hapa kinaihusu timu ya Yanga! Tangu ligi ya NBC...
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Taja game yako ujuane na wenzako wanaocheza. Hizi ni game zangu kwenye simu na hizi level zangu: 8 Ball Pool, veteran level 59. Toon Blast!/chest level 2280 Candy Crush Saga Subway Surfers...
4 Reactions
288 Replies
33K Views
Winga wa klabu ya Berekum Chelsea, Dominic Frimpong, ameuawa katika tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililotokea ndani ya basi la timu hiyo walipokuwa wakirejea kutoka mechi ya Ligi Kuu ya...
1 Reactions
8 Replies
446 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Tanzania ipo katika maandalizi makubwa na ya kipekee kuelekea mashindano ya AFCON 2027, akisisitiza kuwa maandalizi hayo...
2 Reactions
5 Replies
238 Views
Back
Top Bottom