Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

heirry Henry speaks on PSG vs Bayern Munich score line 5:4 "Listen, we need to have a serious conversation about what we are watching. For the fans, of course, it’s exciting, nine goals...
9 Reactions
34 Replies
794 Views
Huu utaratibu umeanza miaka ya hivi karibuni, majayanti wawili, Simba na yanga kuwa na utaratibu wa kutoa sadaka pindi tu wanapokutana. Sadaka ni jambo jema, kwa nini isiwe kwa michezo yote? Wajuzi 👇
1 Reactions
4 Replies
195 Views
Jana usiku mechi ya Klabu bingwa ulaya PSG vs Bayern ilikuwa ya kusisimua na kuleta gumzo kwa mashabiki wa mpira duniani. Mechi hiyo inafanana na mechi iliyochezwa 2004 kati ya Manchester United...
4 Reactions
8 Replies
274 Views
Kabla ya Mechi ya Yanga SC.....Mashabiki hutamba na kuwa na nyodo nyingi huku wakijiamini kushinda Mechi ikiwa inaendelea Uwanjani....Mwamuzi (Referee) anatuumiza, hatupendi, anaibeba Yanga SC na...
2 Reactions
5 Replies
281 Views
Mimi sio msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya michezo lakini nikikuta Wastara Msese wa EATV akiwa ana host kipindi lazima nisikilize hadi mwisho. Wastara ana charisma kwenye angle hiyo na...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Sifuatilii sana Ligi kuu yetu ila kwa hii rekodi, Yanga hana wa kufanishwa nae, na wanaweza kuweka rekodi mpya kushinda mara 7 mfululizo hadi 2028
0 Reactions
7 Replies
289 Views
Uwanja wa Benjamin Mkapa ukiendelea na ukarabati kuelekea mashindano ya AFCON 2027, mafundi wanaofanya kazi hiyo wamekufukua vitu vya ajabu vinavyodhaniwa kuwa vya kishirikina. Vitu hivyo...
0 Reactions
33 Replies
562 Views
kwa huu msimamo hii timu inapaswa iwe chini sana. kwenye wanasema number don't lie lkn hapa namba zinadanganya
1 Reactions
7 Replies
211 Views
Kwa zile timu dhaifu ambazo kila mara huwa zinafungwa ili kuwepo na usawa. Mnaonaje timu mbili zikacheza dhidi ya moja . Yaani mfano simba icheze dhidi ya jkt na pamba. Au Man City icheze dhidi...
4 Reactions
25 Replies
392 Views
1. Pablo Aimar - Kabla Messi hajatokea huyu ndiye aliyekabidhiwa mikoba ya Maradona! 2. Austin Okocha - Pele alikiri kuwa huyu kiungo madoido ni balaa na atafanya makubwa! 3. Faustino Asprilla -...
3 Reactions
136 Replies
23K Views
Yaani hata ukimchezea rafu yeye hana muda wa kukulalamikia. Mimi naanza na Javier Zanetti aliyekuwa nahodha wa Inter Milan. Jamaa ni mstaarabu sana.
9 Reactions
236 Replies
23K Views
Majina haya yanawapa shida mashabiki, makocha, waandishi wa habari na wachambuzi mbalimbali 1. Sokratis Papastathopoulos (Greece/Dortmund) 2. Jakub Błaszczykowski: Poland (Wolfsburg) 3...
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Mimi mpaka leo naamini World Cup bora kuiona ni ile ya mwaka 2006. Jinsi Italy walivyopambana mpaka kutwaa taji. Italy ile iliyoundwa na wakongwe kama Luca Toni, Buffon, Pirlo, Materazzi, Del...
16 Reactions
317 Replies
30K Views
MUUNGANO CUP FINAL 2026 Simba Vs Utopolo. 🔥🔥🔥
4 Reactions
16 Replies
470 Views
Leo kwenye kipindi cha michezo pale Crown Fm kilivyokuwa kinaendelea ilitokea ugomvi ambao si mzuri kabisa! Yani ilikuwa hivi..... Mchambuzi Hans aliingilia wakati mchambuzi mwenzio akichambua...
3 Reactions
13 Replies
426 Views
Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri kuwekwa kapu Moja na Kenya na Uganda alitukosea sana.Vinchi Hadi Leo hii vinapigania njaa na kuomba omba chakula wataweza kuandaa mashindano hao? Kenya...
2 Reactions
15 Replies
390 Views
Mchezo wa Nusu Fainali ya Muungano Cup Kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Azam FC unachezwa saa 2: 15 usiku uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Updates zote utazipata hapa! Dakika 8...
6 Reactions
20 Replies
880 Views
Kama lengo ni kudumisha muungano kwanini mashindano yafanyike Zanzibar tu? Kwanini sherehe za Uhuru wa Tanganyika hakuna mashindano kama ya mapinduzi? Kwanini tunapenda kuficha mambo kila wakati?
8 Reactions
15 Replies
535 Views
Wakati huku serikali ikiwa bado inajifkiria,nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaendelea na Ujenzi wa Arena kubwa Afrika Mashariki na Kati. Arena hiyo itakuwa ikiitwa Kinshasa Arena,na...
4 Reactions
32 Replies
648 Views
Back
Top Bottom