Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mchezo wa Nusu Fainali ya Muungano Cup Kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Azam FC unachezwa saa 2: 15 usiku uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Updates zote utazipata hapa! Dakika 8...
6 Reactions
20 Replies
880 Views
Kama lengo ni kudumisha muungano kwanini mashindano yafanyike Zanzibar tu? Kwanini sherehe za Uhuru wa Tanganyika hakuna mashindano kama ya mapinduzi? Kwanini tunapenda kuficha mambo kila wakati?
8 Reactions
15 Replies
535 Views
Wakati huku serikali ikiwa bado inajifkiria,nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaendelea na Ujenzi wa Arena kubwa Afrika Mashariki na Kati. Arena hiyo itakuwa ikiitwa Kinshasa Arena,na...
4 Reactions
32 Replies
648 Views
Kijana wetu katuheshimisha tena huko duniani. Katwaa medali yaa fedha Boston Marathon 2026 kwa muda wa masaa 2:02:47. Hii ni rekodi ya taifa. Ukimtoa Filbert Bayi ninadhani Alphonce Simbu ndo...
2 Reactions
9 Replies
381 Views
Kuhusu wachambuzi wanaoandika au kuongea habari zenye lengo la kuichafua Klabu ya Yanga, viongozi wanashughulikia jambo hilo na muda si mrefu nitawajuza hatua zitakazochukuliwa.”- Ally Kamwe...
3 Reactions
16 Replies
436 Views
Klabu ya Chelsea FC imemfuta kazi kocha wake mkuu, Liam Rosenior, kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo ndani ya klabu hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa leo Jumatano Aprili 22, 2026 baada ya Chelsea...
1 Reactions
12 Replies
478 Views
Mchezo wa soka una mikasa mbalimbali sana. Kuna mikasa ya kusikitisha na kuna ya kufurahisha. Leo nimemkumbuka Michael Ballack, kiungo fundi kabisa wa Kijerumani. Ballack angeweza kucheza kiungo...
6 Reactions
12 Replies
497 Views
Wakati Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania, Sefu Shabani, maarufu kama Matonya akiendelea kushikiliwa na mkono wa sheria huko nchini Kenya, ndugu wa karibu anayefahamika kama...
5 Reactions
15 Replies
921 Views
Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Muungano Cup wapo uwanjani New Amaan Complex Visiwa Zanzibar wakicheza na Muembe Makumbi Hadi sasa Dakika 31 Yanga anaongoza goli moja liliofungwa na Prince...
2 Reactions
5 Replies
318 Views
Mbeya City ambayo imepata kipigo cha goli 6-0 mnamo 16-4-2026 Majira ya Usiku mchezo uliochezwa Mitaa ya Mwenge Dar es salaam inasemekana kuna harufu ya Upangaji Matokeo. Kocha wa Mbeya City-...
5 Reactions
44 Replies
906 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa 2025/2026, ambapo vigogo wa soka nchini wamepangiwa vibarua...
1 Reactions
5 Replies
433 Views
Kiungo wa Young Africans SC, Mudathir Yahaya, atakosa mchezo wa dabi unaosubiriwa kwa hamu dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Simba SC, baada ya kupewa adhabu ya kufungiwa na Bodi ya Ligi Kuu...
1 Reactions
3 Replies
431 Views
Namungo yuko nyumbani akimkaribisha Simba mechi ipo dakika ya 13 kwenye uwanja wa Majaliwa Stadium. Vikosi vya leo Gli kwanza la simba limewekwa ndani na Libesse Gueye 25' Simba wanapata...
1 Reactions
7 Replies
501 Views
  • Redirect
Mwanariadha nyota wa Tanzania Alphonce Simbu amefanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye mashindano ya Boston Marathon nchini Marekani Simbu alikimbia kwa muda wa masaa 2:02:47, nyuma ya mkenya...
1 Reactions
Replies
Views
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona. Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL. Europa hawezi...
37 Reactions
210 Replies
14K Views
Mtaishi maisha ya tabu sana Safari hii Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA...
14 Reactions
141 Replies
13K Views
Kazi kweli kweli leo. Huku:
4 Reactions
9 Replies
249 Views
Back
Top Bottom