Wachezaji wawili wa Klabu ya Simba, Yusuph Kagoma na Shomari Kapombe, wataikosa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate FC kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano.
Mchezo huo...
Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu...
Shakibi mmoja wa Arsenal nchini Uganda ameshindwa kuvumilia matokea mabaya inayopata timu na ameichapa notice ya malalamiko na kudai kuwa atachukua hatua za kisheria dhidi ya Klabu, wachezaji...
Mkazi wa Kijiji cha Lyamrakana wilayani moshi vijijini mkoani Kilimanjaro ajulikanaye kwa jina la Jonathan, amekutwa amefariki (amejiua) huku akiacha ujumbe wa kuwahasa na kuwaonya vijana...
Mashabiki 18 wa soka wa Senegal waliowekwa jela kwa kosa la kuingia uwanjani wakati wa fainali ya fujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kule Rabat mwezi Januari 2026, wamekana kuhusika na...
Je mmegundua kuna hali ya utulivu majumbani, makazini, vijiweni, mashuleni n.k.
Arsenal ingeshinda hii wikendi, Man city kufungwa kusingekuwa na hii hali.
Tuzidi kuomba hii hali ya utulivu...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kabla ya yote nikubali ya kwamba Mimi ni shabiki na mkereketwa wa timu ya Yanga!,hivyo nitakachokiandika hapa kinaihusu timu ya Yanga!
Tangu ligi ya NBC...
Taja game yako ujuane na wenzako wanaocheza.
Hizi ni game zangu kwenye simu na hizi level zangu:
8 Ball Pool, veteran level 59.
Toon Blast!/chest level 2280
Candy Crush Saga
Subway Surfers...
Winga wa klabu ya Berekum Chelsea, Dominic Frimpong, ameuawa katika tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililotokea ndani ya basi la timu hiyo walipokuwa wakirejea kutoka mechi ya Ligi Kuu ya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Tanzania ipo katika maandalizi makubwa na ya kipekee kuelekea mashindano ya AFCON 2027, akisisitiza kuwa maandalizi hayo...
Shabiki maarufu wa Klabu ya Simba, K-Mziwanda amesema hakuna tukio lililomuumiza kama la Oktoba 29, 2025 kwani alipoteza marafiki (washkaji) wengi anaowafahamu
"Kuna tukio jingine... sasa hili ni...
Taarifa kamili hii hapa
---------------------
Union Berlin imemtangaza Marie-Louise Eta kuwa kocha wao mpya wa muda (interim coach) baada ya kumfuta kazi aliyekuwa kocha wao, Steffen Baumgart...
Patashika nguo kuchanika inatarajiwa leo wakati Chelsea FC watakapowakaribisha Manchester City katika dimba la Stamford Bridge, kwenye mchezo wa kusisimua wa English Premier League
Chelsea...
Mashindano ya Ligi ya Muungano ya Mpira wa Miguu yanatarajiwa kuanza Aprili 21 hadi 29, 2026 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar,
Timu nane zitashiriki mashindano hayo, ambapo kwa upande...
Nimepata funzo kubwa kwenye maisha, huwezi amini huyu ni rafiki yangu, kiasi hatuwezi pishana bila kusalimiana.
According to Micky jr, mtu WA michezo kadai kaka yangu kachaguliwa kuchezesha kombe...
Kwenye mechi inayoendelea sasa kati ya Dodoma Jiji na Simba Sc ikiwa simba hatopata goli na kufuzu kwenye haya mashindano nitatangaza rasmi kuachana na masuala ya mipira ikiwa ni kufatilia matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.