Macho yote leo yako Manchester United na Liverpool watakapokutana katika dimba la Old Trafford kwenye mchezo wa English Premier League.
Huu ni mtanange wa kihistoria wenye ushindani mkubwa, kila...
Hizi ni za ndani kabisa kesho mechi ya Simba na Yanga iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa Meja Isamuhyo ipo kwenye hati hati ya kutochezwa.
'Updates' zitakuja hivi punde au kesho asubuhi.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally, ameibua ameitaka klabu ya Yanga kurejesha kiasi cha shilingi milioni 40 serikalini, akidai kuwa klabu hiyo imepokea kiasi kikubwa cha...
Ile mechi ya UEFA usiku wa jumanne iliyopita kati ya miamba wawili klabu za mpira Ufaransa na Ujerumani PSG vs Bayern itabaki kwenye historia na itasimuliwa miaka mingi sana ijayo.
Tunawapa pole...
Hili suala Lilianza toka mwaka jana kwenye DERBY wanaletwa marefa WA kigeni je waamuzi wetu hawaoni kuwa kama kwao Hilo ni tusi kubwa sana
Maana najua wanalipwa pesa kidogo hao waamuzi kutoka...
Kuna team imekaa namba tatu sio nafasi yake kabisa. Kila lakheri Majogoo mrudi pale, tushazizoea tatu bora zetu huyu mgeni aondoke.
By the Way, Arsenal bingwa EPL, Arsenal bingwa UEFA.
Kuna jambo linanishangaza kidogo, embu tusaidiane.
Kila siku naona ziara za kutembelea ujenzi wa uwanja mpya wa Arusha, ila sijawahi kuona wala kusikia maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma. Je...
Guys wajinga sio Bongo tu na Mwangosi na Dube wana Role Model wao huku England.
I was very FLABBERGASTED a such Professional Player, you turn a clumsy cross while you've an option to score or...
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike imekiri kuwa na kasoro katika jezi mpya za timu za taifa kwa ajili ya Kombe la Dunia, zikiwemo zile za England zinazouzwa kwa takriban Pauni 135. Tatizo hilo...
Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai.
Simba...
Mkenya ameona penati halali kabisa, soote tumeona hivyo. Mkenya kaweka tuta bila kujali ni dakika ya ngapi
Ila hawa marefu wetu wakubemba wangepeta hiyo, kwa sababu kanuni zake za kipuuzi...
Ameongea Haji Sande Manara kuhusu mchezo wa Jana Fainali ya Muungano kwa kocha wao wa yanga.
“Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo,tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni...
Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba.
Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge..
umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa...
Kwakuwa Kiufundi na Kiuwezo kamwe hatuna uwezo wa Kumfunga Yanga SC nashauri katika kuondokana na Aibu za Kufungwa Derby Mbili (kama Simba Sports Club) itatinga Fainali ya Kombe la Muungano...
Nilijitambua kuwa mimi ni SIMBA mwaka 1982, almost miaka 41 hivi iliyopita.. Ni shabiki kindakindaki wa SIMBA sports club. Mimi si shabiki maandazi.
SIMBA ni timu kubwa sana Tanzania, Afrika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.