Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 317
- 311
MUUNGANO CUP FINAL 2026
Simba Vs Utopolo. 🔥🔥🔥
Simba Vs Utopolo. 🔥🔥🔥
Hebu tu bet basiMtazamo wangu.
Simba itachuana na Utopolo na kuidinya tatu bila.
Mpe Simba utanishukuru.Hebu tu bet basi
Sawa kijana, soooooon ..........,,,MUUNGANO CUP FINAL 2026
Simba Vs Utopolo.
& viceversa is true.Mtazamo wangu.
Simba itachuana na Utopolo na kuidinya tatu bila.
Muda utafika tu. Tuombe uhai.& viceversa is true.
OkkMuda utafika tu. Tuombe uhai.
Safi sana, watu hamuondolewi kwenye reli.Toa ujinga hapa ,tuko busy kusaka watu 400 waliopotea na mnadai walijiteka mara wengine wamepotea kwa sababu za kimapenzi.
Haya matakataka mawili ya Kariakoo hayakujaribu hata kutoa pole kwa wahanga wa October 29 na wauaji walikua wametinga jezi zao kumwaga damu za watanganyika zaidi ya 10000.
Haya matakataka ni moja ya jukwaa la CCM kuwapumbaza watanganyika kutoka kwenye mambi ya msingi.
Hiyo tarehe 29 tutaitumia kama siku ya kuwakumbuka wahanga wa mauaji ya tarehe 29 October.
View attachment 3579855View attachment 3579856
Naam, haya matakataka ndio phase ya mwisho watanganyika wakikamilisha basi CCM lazima warudi kwenye drawing board .Safi sana, watu hamuondolewi kwenye reli.
Saw saw tusubiri !Nyuma mwiko lazima achapwe wamezoea kununua game awamu hii kitamlamba