Yanga wapo Mbele hadi sasa wakiwa wamefunga magoli matatu. Magoli mawili yamefungwa Okello na goli moja limefugwa na Max Mpia
Mechi bado ipo live
Yanga wanaendelea na ubabe kwenye ligi kuu ya...
Mara nyingi tunapo jaribu wakumbusha ndugu zatu mashabiki wa Arsenal juu ya uwezo na ukubwa wa team yao, huja juu na huwa wana hisi pengine ni chuki au utani na dhihaka za kawaida kwenye soka...
Bruno Fernandes has been named the Football Writers’ Association (FWA) Men’s Footballer of the Year after an impressive season for Manchester United.
The Portuguese midfielder beat strong...
Coach Pedo Valdemour Soares, ambaye ni raia wa Ureno tayari yupo nchi ili kukinoa kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini na club kubwa nchi na ukanda huu wa CECAFA Young Africans
Coach Pedro...
Propaganda la goli la chama ni kuwapumbaza mashabiki wa kolo fc.
Viongozi wa Simba wanajua kuwa mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo tu 🤣..
Timu ndani ya miaka 4 mfululizo Haina kombe zaidi...
Lamine Yamal ana kipaji cha asili (talent), Michael Olise ana ubunifu wa kipekee (flair) uwanjani, lakini Khvicha Kvaratskhelia ndiye mchezaji anayechanganya vitu vitatu muhimu kwa kiwango cha...
Habari zenu,
Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
"Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani...
Kwa ufupi sana.
Simba wamemkosa Feisal pendekezo la kocha Fadlu, lakini pia uwezekano wa kumpata Allan Okello ni mgumu.
Fadlu ameonesha bado anahitaji mchezji wa kuamua mechi kubwa na...
Salaam Wanajukwaa,
Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African...
Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara.
KMC imeendelea kuwa na hali...
Kinachoendelea Dili ya Clement Mzize Kuelekea ESPERANCE SPORTIVE DE TUNIS ni Masikitiko Makubwa.👀👀
Dili ya Clement Mzize Kwenda Esperance Sportive de Tunis Linakaribia Kabisa Kuota Mbawa
Yanga...
MATCH DAY
Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji.
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan...
Atlético Madrid wanatarajiwa kuwa wageni wa Arsenal katika uwanja wa Emirates, kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League, mchezo utakaopigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika...
https://youtu.be/dytqapjk4Qw?si=8FYtt5wPiJNBozBu
Kwa mujibu wa mitandao hilo ndio goal la Puskat kwa mwaka jaza. Ukilinganisha goal la Chama ni hatari kuliko hili...
Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani.
TFF sio wajinga kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.