Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya nadharia zao uchwara ambazo zilikuwa zinadai kuwa Portugal imepangwa kuchukua World Cup mwaka huu kuangukia pua sasa wamehamia kwa Spain. Wanadharia hao uchwara wanadai kuwa Spain...
5 Reactions
29 Replies
408 Views
https://www.facebook.com/share/v/1DLjLg19Jh/ Wenzie wako mazoezini anaenjoy nayeye tutamfwatilia
2 Reactions
7 Replies
189 Views
Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final. ⚽️ Their connection dates to a 2007 charity calendar shoot at Camp Nou. Photographer Joan Monfort captured 20-year-old Messi with...
2 Reactions
32 Replies
654 Views
Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 ...
6 Reactions
10 Replies
291 Views
Mitandao ya kijamii imesheheni madai yanayodai kuwa nyota wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Jérémy Doku, amefungua talaka dhidi ya mke wake Shireen baada ya kile kinachodaiwa kuwa...
5 Reactions
23 Replies
848 Views
Kwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week.. Kalikuwa kasehemu kadogo tu. Kuwa waingie vyumba vya kubadilishia jersey. Waligoma goma now...
2 Reactions
68 Replies
1K Views
Nakataa kuwa mshabiki oya oya , napenda mpira , acha kwa pumzi hii niliyo bakiwa nayo niupe maua yake , natambua mchango wa Ronaldo , ila Messi ni next level , acha niupe mpira heshima yake tu...
31 Reactions
89 Replies
2K Views
South Africa, timu zinazokwenda kwenye CAF confederation ni timu ya tatu na timu ya nane. Kwa Tanzania, tunawakilishwa na timu ya tatu na ya nne. Kuna nnini?
3 Reactions
4 Replies
186 Views
Nimejikuta naanzisha huu Uzi maalumu baada ya kusikiliza kituo Fulani chenye wachambuzi wa mchongo wao ni kuponda timu hata ifanye mazuri gani. Kiufupi hawajui chochote kuhusu mpira/football...
5 Reactions
137 Replies
10K Views
Jamani naomba mnisaidie nimeweka pesa kwenye account yangu ya gal spot toka jana pesa yangu haijaingia kwenye account yangu lakini Salio limekatwa na ujumbe nimepokea wa kukamilika kwa muamala
1 Reactions
4 Replies
142 Views
Kila mwaka, Dunia ya soka husimama kwa dakika chache. Sio kwa sababu kuna fainali ya Kombe la Dunia, Sio kwa sababu kuna Clasico, wala sio kwa sababu kuna usiku mwingine wa kichawi wa Ligi ya...
0 Reactions
3 Replies
238 Views
Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa. Samia...
4 Reactions
22 Replies
811 Views
Rais wa Argentina, Javier Milei, amesema hatahudhuria fainali ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha Argentina na Uhispania, akieleza kuwa uamuzi huo unatokana na imani yake. Akizungumza kuhusu...
6 Reactions
8 Replies
239 Views
Moja ya dabi kubwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia itaandika sura mpya jijini Atlanta, ambapo England na Argentina zitakutana kwa mara ya sita katika mashindano haya huku nafasi ya kutinga...
4 Reactions
197 Replies
5K Views
On 18 April 2007, Messi scored a goal against Getafe CF which was very similar to Maradona's Goal of the Century, scored against England in the 1986 World Cup. The world's sports press exploded...
6 Reactions
547 Replies
39K Views
Mabingwa mara mbili wa Kombe la Dunia, Ufaransa, watakutana na mabingwa wa mara moja Hispania katika mchezo wa nusu fainali utakaochezwa Texas, huku mataifa hayo mawili makubwa ya soka barani...
5 Reactions
159 Replies
3K Views
  • Featured
Wakati Morocco ikiendelea kuandika historia uwanjani katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026, inaendelea na mipango mukubwa ya ujenzi wa uwanja baada ya kuwa mwenyeji wa Fainali ya Kombe la Dunia la...
9 Reactions
11 Replies
653 Views
Yanga wamelitumia tena Nyumba lao ambalo walilipa jina la Nyumba la maajabu pale Major Isamuhyo Stadium katika mchezo wao wa ligi kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania. Tarehe 3 Mei, 2026 Yanga...
4 Reactions
27 Replies
630 Views
Ni mechi ambayo inaenda kukumbushia historia ya vizazi vingi katika nyanja mbalimbali Huko Atlanta, Lionel Messi atacheza dhidi ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika taaluma yake huku mabingwa...
2 Reactions
7 Replies
279 Views
Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno...
3 Reactions
1 Replies
198 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…