Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
LEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.

Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba pengo lake licha ya uwepo wa Messi na Ronaldo, wapenda soka wote wanam-miss na wanatamani siku zingerudi nyuma ili Gaucho arudi uwanjani.

Je wewe ukiwa kama shabiki na mpenzi wa soka, kama siku zingerudi nyuma ni Mchezaji gani wa soka aliyestafu ungetamani umuone akisakata tena kabumbu?
 
Back
Top Bottom