Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kesho Yanga watamtambulisha mchezaji wao mpya katika dimba la KMC na wanachama na Mashabiki wa Yanga watapata nafasi ya kwenda kumona na kupiga naye picha kwa Shilingi 2000 tu Hakika huu ni moja...
0 Reactions
11 Replies
388 Views
Nashindwa kuielewa kabisa!,Kuna wakati waarabu wa nafikiri dubai au oman waliitaka simba,likatokea zengwe timu hii atafutwe mwekezaji mwarabu tajiri amwage fedha za kutosha ili mambo yakae sawa...
5 Reactions
21 Replies
335 Views
Mwamuzi kutoka somalia Omar Artan ( 34 yrs) baada ya kukataliwa kuingia Marekani Kuchezesha kombe la Dunia 2026 , kuchezesha Uefa Super Cup kati ya Paris. Saint German PSG VS Aston Villa...
1 Reactions
4 Replies
138 Views
  • Featured
Baada ya kunyimwa ruhusa ya kuingia Marekani kwa ajili ya Kombe la Dunia, Omar Artan alikuwa mwamuzi wa kwanza kutoka Afrika kuchezesha fainali ya UEFA Super Cup Agosti 12, 2026 mjini Salzburg...
9 Reactions
10 Replies
432 Views
Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi. Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu...
4 Reactions
31 Replies
498 Views
Baada ya usajili wa dirisha dogo miongoni mwa watu waliosifiwa ni Jayrutu hasa kwa kumsajili Inno Loemba. Sifa hizi zilimfanya hadi mwenyekiti wa bodi ya Simba Magori kutoka na kuongea na...
6 Reactions
21 Replies
845 Views
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔 Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa. Kwa Simba day hii tu na...
24 Reactions
85 Replies
2K Views
Baada ya Yanga kupata goli alipiga makofi huku akicheka na uso ukiwa na bashasha. Wakati mwenzake mzalendo na genius wa boli Professor Mangungu alikuwepo uwanjani na alioneka kukerwa na kiwango...
9 Reactions
31 Replies
453 Views
Kambi ya Simba imekumbwa na nini? Neo Maema ametoweka alfajiri ya leo. Pesa ziko Benki.
5 Reactions
14 Replies
776 Views
Mwamba anapambana sana na anapigishwa sana short za kauli za mwisho na uongoz ila jamaa anakaza fuvu tu
1 Reactions
10 Replies
227 Views
Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani. Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu...
4 Reactions
27 Replies
412 Views
Nimeshanganzwa na Usajili wa Selemani Mwalimu unaonesha mambo makuu mawili: 1. Uongozi mzima wa Simba hawafanyi vitu kiprofessional, huwezi kutambulisha mchezaji kwenye tamasha lenu kumbe...
9 Reactions
68 Replies
1K Views
Wakuu simba sc anamfunga mtani wake leo, sina maneno mengi 1-2 ft
14 Reactions
68 Replies
1K Views
Ndugu zangu Wana Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa. Amasivyo kwenye ligi tutafungwa tena
0 Reactions
4 Replies
174 Views
Ifike mahali wazalendo wa Simba tuungane na genius wa boli Murtaza Mangungu kumdhibiti huyu muhuni, tapeli na mwizi Magori anayekula pesa za benki na kutuletea magarasa. Huyu Doumbia yeye ndiyo...
2 Reactions
4 Replies
113 Views
Viongozi wa Simba ni madadali takataka kabisaa, mo atupishe na takataka zake kina mangungu wale ni wahuni tu pale simba
5 Reactions
22 Replies
341 Views
Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi. Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto)...
5 Reactions
30 Replies
516 Views
  • Redirect
Msibishi kila tatizo la simba ni Mangungu👇
1 Reactions
– Replies
– Views
Paris Saint-Germain (PSG) na Aston Villa zinakutana katika fainali ya UEFA Super Cup 2026, mchezo unaowakutanisha mabingwa wa mashindano mawili makubwa ya Ulaya. PSG wamefuzu kucheza mchezo huu...
2 Reactions
1 Replies
106 Views
  • Redirect
Simba timu yangu ni taka taka mbele ya yanga, kutokana na uongozi wa kijnga , achieni ngazi nyie kina mo na kina mangungu , simba inauzika kimataifa kwa watu wenye akili timamu ya mpira
3 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom