Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ifike mahali wazalendo wa Simba tuungane na genius wa boli Murtaza Mangungu kumdhibiti huyu muhuni, tapeli na mwizi Magori anayekula pesa za benki na kutuletea magarasa. Huyu Doumbia yeye ndiyo...
2 Reactions
4 Replies
114 Views
Viongozi wa Simba ni madadali takataka kabisaa, mo atupishe na takataka zake kina mangungu wale ni wahuni tu pale simba
5 Reactions
22 Replies
343 Views
  • Redirect
Msibishi kila tatizo la simba ni Mangungu👇
1 Reactions
– Replies
– Views
Paris Saint-Germain (PSG) na Aston Villa zinakutana katika fainali ya UEFA Super Cup 2026, mchezo unaowakutanisha mabingwa wa mashindano mawili makubwa ya Ulaya. PSG wamefuzu kucheza mchezo huu...
2 Reactions
1 Replies
107 Views
  • Redirect
Simba timu yangu ni taka taka mbele ya yanga, kutokana na uongozi wa kijnga , achieni ngazi nyie kina mo na kina mangungu , simba inauzika kimataifa kwa watu wenye akili timamu ya mpira
3 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Pesa iko bank
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Hii kiazi imesajiliwa na watu wajinga kupita maelezo , siku simba mkiwa na uwezo wa kushindana na yanga naomba mnishtue🤣🤣🤣🤣
8 Reactions
– Replies
– Views
Kinachofanyika ni sawa na kuwanyima burudani wenye timu zao wanaoishi Tanganyika Lakini ni nani hasa anayehamisha Mechi za Timu za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar, Amelenga nini? Je wenye Timu...
18 Reactions
47 Replies
886 Views
Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi. Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto)...
5 Reactions
29 Replies
521 Views
People often think of gambling companies as easy money machines. The reality? It’s one of the most competitive industries out there. What does it take to stay in the game? 𝐓𝐞𝐜𝐡 𝐬𝐮𝐩𝐞𝐫𝐢𝐨𝐫𝐢𝐭𝐲 –...
0 Reactions
1 Replies
373 Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, ametoa kauli yake baada ya mchezaji Selemani Mwalimu kutangazwa Yanga, akieleza kuwa jambo hilo halina uzito wowote wa kuilaza au...
5 Reactions
87 Replies
1K Views
Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo...
1 Reactions
6 Replies
129 Views
Yanga kumsajili selemani mwalimu nani alaumiwe?
3 Reactions
4 Replies
167 Views
Sina mashaka kabisa na ninachokisema.Huyu aliyempa maelekezo msemaji wa Simba anapaswa kuondoka pale Simba mara moja. Inaonekana ni mpango wa kuidhalilisha timu uliopangwa na upande wa pili na...
5 Reactions
17 Replies
373 Views
Na sijui kwanini waliokuteka kipindi kile hawakukamilisha jukumu la mazima Kwako, kwani huna faida SSC na ni Mnafiki.
6 Reactions
10 Replies
262 Views
Eti Pesa ya Kusajili ipo Benki muda wowote wakiitaka naitoa. Pumbavu kabisa Wewe Gabachori Mnafiki. Ninakuchukia.
2 Reactions
18 Replies
584 Views
Eti Pesa ya Kusajili ipo Benki mkiitaka nawapa. Ingekuwepo Benki huko hadi leo ungeshindwa Kumsajili Fei Toto? Idiot...!
3 Reactions
27 Replies
441 Views
Tofauti ya Yanga na Simba ni viwango vyao vya umbumbumbu. Umbumbumbu wa mashabiki wa Simba ulianza kutangazwa na mwanasimba mwenzao Kaduguda na kukolezwa na Rage. Ukiona mashabiki wanakunya...
0 Reactions
3 Replies
99 Views
Back
Top Bottom