Nasikia Doumbia kawaka huko mazoezini anatupia kama goal machine aisee. Kuna watu wataaibika, hili linaenda kuwa goat la CAF.
ASANTE MO NA MAGORI KWA USAJILI USIO NA MIHEMKO.
Siku ya utambulisho ilipofika saa 7 mchana uwanja ulikuwa umejaa, watu nje wanasukuma mageti wanataka kuingia ndani! Wengine wakabaki nje hadi barabarani.
Tiketi za vishina ambazo tulikuwa...
Kwa wanaotumia inteligensia yao vizuri,wanaweza kung'amua kwa urahisi uhusiano wa maumivu ya kudhibiti jezi feki na hasira uchwara za watu waliodhaminiwa jana kufanya press conference dhidi ya...
Timu ya wanaume ya Israel imetwaa medali ya dhahabu katika marathon ya timu kwenye Mashindano ya Riadha ya Ulaya 2026 yanayoendelea Birmingham, England, baada ya kuwazidi wapinzani wake wa karibu...
Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI...
Inakera sana makosa ya kibinadamu yakitumika kudhoofisha jitihada za timu, makocha na wachezaji kuwekeza kwenye ushindi wa timu kiwanjani.
Football Video Support (FVS) kwenye ligi ya NBC mpaka...
Cristiano Ronaldo ametoa kauli inayoweza kuwa ishara kubwa ya mwisho wa safari yake ya soka, akisema mwaka 2026 huenda ukawa mwaka wake wa mwisho kucheza soka la kulipwa.
Akizungumza katika...
Chelsea wameweka thamani ya pauni milioni 100 (sawa na shilingi bilioni 400) kwa Pedro Neto iwapo klabu hiyo itaamua kumuuza winga huyo Mreno katika dirisha hili la usajili.
Pedro mwenye umri wa...
Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026.
Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe...
Ligi yetu kivyetuvyetu imeanza mapema kabla ya ligi kubwa na pendwa uko duniani ila yetu lazima itanasa tu uko katikati na itakua yamwisho kumalizika tena tuna timu chache na mashindano machache...
Ligi ya Mpira wa Miguu ya Tulia Trust Uyole Cup 2026 imemalizika hii leo kwa Timu ya Masandawana FC kuibuka Mabingwa kwa ushindi wa Penati 3-2 dhidi ya Airport FC baada ya dakika tisini kumalizika...
Football Video Support (VS) ni mfumo mpya wa usaidizi wa video ulioanzishwa na FIFA ili kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi sahihi katika mashindano ambayo hayawezi kutumia mfumo wa VAR kutokana na...
Habari zenu wana Jamii forums!!
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za...
Lile tukio hadi leo hua linakuja kichwani nachek aisee.
Mwenye ile picha aipost hapo chini nicheke tena😂😂
Yule mzee thinking ni ndogo kabisa, na yule mzeee ni shabiki Simba sio mwana chama wa...
Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza.
Mchezaji...
Kwa asiyemjua basi jaribu kugoogle interviews zake utapata wasaa wa kutabasamu sana.
Anafurahisha huku akitia facts za maana sana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mabingwa watetezi, Yanga wameichapa 3-1 timu ya Namungo kwenye uwanja wao nyumbani. Yanga imeanza ligi kuu kwa mguu mzuri baada ya kushinda mechi yao ya kwanza wakiwa ugenini na kuvuna alama 3...
Kiungo mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, amerejea tena katika Klabu ya Yanga SC baada ya kuacha alama kubwa katika kipindi chake cha awali ndani ya timu hiyo.
Aziz Ki aliitumikia...
Arsenal bingwa Ngao ya Jamii 2026
==
NANI ATAONDOKA NA KOMBE LA KWANZA LA MSIMU?
Ni mabingwa wa Premier League dhidi ya washindi wa FA Cup katika pambano la kuwania kombe la kwanza la msimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.