Football Video Support (VS) ni mfumo mpya wa usaidizi wa video ulioanzishwa na FIFA ili kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi sahihi katika mashindano ambayo hayawezi kutumia mfumo wa VAR kutokana na...
Habari zenu wana Jamii forums!!
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za...
Lile tukio hadi leo hua linakuja kichwani nachek aisee.
Mwenye ile picha aipost hapo chini nicheke tena😂😂
Yule mzee thinking ni ndogo kabisa, na yule mzeee ni shabiki Simba sio mwana chama wa...
Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza.
Mchezaji...
Kwa asiyemjua basi jaribu kugoogle interviews zake utapata wasaa wa kutabasamu sana.
Anafurahisha huku akitia facts za maana sana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mabingwa watetezi, Yanga wameichapa 3-1 timu ya Namungo kwenye uwanja wao nyumbani. Yanga imeanza ligi kuu kwa mguu mzuri baada ya kushinda mechi yao ya kwanza wakiwa ugenini na kuvuna alama 3...
Kiungo mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, amerejea tena katika Klabu ya Yanga SC baada ya kuacha alama kubwa katika kipindi chake cha awali ndani ya timu hiyo.
Aziz Ki aliitumikia...
Arsenal bingwa Ngao ya Jamii 2026
==
NANI ATAONDOKA NA KOMBE LA KWANZA LA MSIMU?
Ni mabingwa wa Premier League dhidi ya washindi wa FA Cup katika pambano la kuwania kombe la kwanza la msimu...
Timu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa leo, Agosti 12, 2026, Zanzibar.
Goli la Yanga limefungwa dakika 31 na Albert Kangwanda...
Je, ipi ni Marathon kubwa zaidi Tanzania? Kilimanjaro Marathon au NBC Dodoma Marathon au CRDB Marathon?
Kwa miaka kadhaa sasa, Tanzania imekuwa na mbio za marathon zinazovutia maelfu ya washiriki...
Tanzania utani ni mwingi sana.
Otherwise mnisaidie kujua, kwenye mechi ya jana pale Amaan Stadium ile ni VAR au Azam Tv. Pembeni niliona wamefunga antena.
Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026.
Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe...
Taarifa za uhakika ni kwamba boss Mo kaamua kukita mizizi pale msimbazi kiasi kwamba mzabuni wajezi kaona hakuna future nzuri.
Atavunja mkataba kwa gharama zake na yuko tayari kulipa fedha ya...
Unapochambua mpira sahau kuwa unashabikia timu gani, chambua mpira tu kwakuwa kusema ukweli hakutasababisha timu yako ishinde au ishindwe.
Wachambuzi wengi wa hivihivi walikuwa wakimdogosha kocha...
Ukisikia amebana ameachia ndiyo hii sasa ya huyu mzee. Mzee wangu Anthony Mtaka unamaombi makali sanaa
=========
Aliyeshinda nafasi ya Urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) tarehe 05/7/2026...
Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha.
Msimu wa 2024/25...
Bila kupoteza muda
Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba
Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo
Mpk sasahivi viongozi...
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu...
Wada wa michezo na wapenzi wa mpira wa miguu kwa nchi yetu leo ndio tunaanza kuhesabu magoli na ponti kwenye timu zetu.
Leo dimba la Ligi kuu limeshafunguliwa kwa Pamba Jiji na Dodoma, Vipi timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.