MABAO mawili ya mchezaji wa Ethiopia, Shemelles Godo katika kipindi cha kwanza yalitosha kuifungasha Kenya virago kwenye michuano ya Tusker Chalenji baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1, huku...
JUMLA ya wachezaji 26 wamesajiliwa na klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara katika dirisha dogo lililofikia ukomo juzi tayari kwa kuanza mzunguko wa pili unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 15...
Ndugu zangu wana JF,Huyu Mzee kwa mwendo huu wa kusuasua wa taifa Stars chamoto atakipata na sisi tulivyo tunategemea kushinda muda wote,wenzangu mnaonaje mwenendo wa timu yetu ya Taifa.
Wapendwa habarini za ukweli
naamini wote ni member wa ukweli na uwazi hasa kwenye mtandao huu wetu wenye furaha na kila aina ya madoido duniani..nimeona magazetini kuna habari za usajili mara...
Hakika baada ya Furaha kubwa ya Mvua ya Magoli tuliyoipata kutoka Blackburn jana hali ilikuwa tofauti kwa kufungwa Goli 4 ambazo zimetufanya kelele zote ziishe!
Kweli Man U hamjatutendea haki...
WWE ilipata pigo kubwa wiki iliyopita baada ya John Cena kutimuliwa.
Juzi Jumatatu katika ukumbi wa Wells Fargo Centre,Philadelphia,Cena alionekana katikati ya mashabiki akiwa na tiketi yake...
Watanzania ni vema tukampatia ushauri wa bure kocha wetu wa timu ya taifa ili afuate nyayo za Maadam Ritha anavyofanya katika kutafuta vipaji badala ya kutegemea wachezaji waliochwa na MAXIMO.
Ni...
Inasemekana timu ya taifa ya tanzania haijawahi kuibuka na ushindi ikiwa inashuhudiwa na rais kikwete kama mtazamaji au mgeni rasmi na kwamba mara zote hizo imekua ikiambulia kichapo au sare...
Jamani nimeiona stars ikicheza na zambia kwa kweli
ilinisikitisha kwa kutokuwa na mpango mzuri wa mashambulizi
Kwa sasa naiangalia ikicheza na timu dhaifu ya Somali matatizo ni yale yale
tunakosa...
Three senior Fifa officials who will vote on the 2018 and 2022 World Cup bids took bribes in the 1990s, according to the BBC's Panorama.
Nicolas Leoz, Issa Hayatou and Ricardo Teixeira...
Wakuu mnaoicheki mechi Ya Barca vs Real,kwa mtazamo wangu ni kama vile Wenger the professor ameibiwa baadhi ya mbinu na hawa vijana wa Katalunya. Halafu huyu Messi amekula kizizi gani?
KAMATI YA NIDHAMU TFF IMEKOSA NIDHAMU IJIUZULU
Kamati ya nidhamu ya TFF iliyo chini ya mwenyeiti wa Sunday Kayuni imekosa nidhamu kwa Watanzania na inapaswa ijizulu. Kamati hii ilifanya kituko...
Inasikitisha shirika la tbc mnashidwa kuonyesha mpira mnakalia maojiano na Sakirojo chambua wakati supersport,Kbc, wanaonyesha mpira wa ivory cost na rwanda nyie mpo katika mahojiano huo ni upuuzi...
KAMATI YA NIDHAMU TFF IMEKOSA NIDHAMU IJIUZULU
Kamati ya nidhamu ya TFF iliyo chini ya mwenyeiti wa Sunday Kayuni imekosa nidhamu kwa Watanzania na inapaswa ijizulu. Kamati hii...
haya hayaaa! Ni barcelona v real madrid! Ka vp tuanze kupeana tathmini ryt now pamoja na utabiri pia.
BARCELONA WIN - LOSE REAL MADRID but kwa bao ngapi, ngoja twoneee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.