Live: Stars, Simba vs Wapinzani

ebu iweke vizuri hiyo LIVE STARS alafu unaulizia tena wakupe updates , huo mpira wataonyesha Live ?
 
Watanzania tumeisha zoea kulia kila siku, hiyo mechi wala isikuumize kichwa we jiandae kupokea matokeo yoyote:
 
game ya U23 inaanza saa ngapi? tuone kama Julio ataonyesha kuwa makocha wazawa wanaweza na sio kuwa wanabahatisha.
 
game ya U23 inaanza saa ngapi? tuone kama Julio ataonyesha kuwa makocha wazawa wanaweza na sio kuwa wanabahatisha.

inaanza saa nane za kule ambayo ni sawa na saa kumi jioni hapa hme
 
dah, haya mambo ya kulinda ili tubaki na ketu kale kamoja ndio yametuponza....kama mapema tu bao..sijui itakuaje...anyway tungoje hizo 90mins
 
Back
Top Bottom