Naona leo Tanzania imekununtwa 3-0 na Nigeria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naona leo Tanzania imekununtwa 3-0 na Nigeria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mahmood, Jun 19, 2011.

 1. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Ndugu Wanachama,

  Naona leo Tanzania imekununtwa 3-0 na Nigeria katika kolifikeshen ya Olompik.

  Tanzania lini itaendelea kimpira ?

  Kila ikishiriki katika mashindano ya nje haifanyi vizuri.
   
 2. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  source please
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  mpaka watz mtakapoacha kuichagua ccm,mtaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu mpakamuache kabisa kushiriki,hii ni laana
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Simba nayo imepigwa 2-0 na DC Motema Pembe. Tanzania bado ni kichwa cha mwendawazimu
   
 5. M

  Mibaso Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania twaishia kuwa safishia njia washiriki wenzetu kwakila mashindano tunayoshiriki ko miesishangai na tutaendelea hivohivo hadi tukitoe chama cha magamba.
   
 6. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tanzania ni bingwa wa kuibiwa rasilimali duniani.
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kiwelu amembania ngasa ile mbaya!
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Semina ya Christian Democratic Union naona imeanza kulipa.
   
Loading...