Inasikitisha shirika la tbc mnashidwa kuonyesha mpira mnakalia maojiano na Sakirojo chambua wakati supersport,Kbc, wanaonyesha mpira wa ivory cost na rwanda nyie mpo katika mahojiano huo ni upuuzi...
KAMATI YA NIDHAMU TFF IMEKOSA NIDHAMU IJIUZULU
Kamati ya nidhamu ya TFF iliyo chini ya mwenyeiti wa Sunday Kayuni imekosa nidhamu kwa Watanzania na inapaswa ijizulu. Kamati hii...
haya hayaaa! Ni barcelona v real madrid! Ka vp tuanze kupeana tathmini ryt now pamoja na utabiri pia.
BARCELONA WIN - LOSE REAL MADRID but kwa bao ngapi, ngoja twoneee...
Hakuna shaka watanzania wote jana tulishuhudia kandanda safi na ya kujituma kwa ndugu zetu wa zanzibar ukweli kike kikosi kilitimia na kwa uchezaji wao wakiwapo na mashirikiano wakiwa uwanjani...
Si kama nina chuki binafsi ila ctaki kukiamini hiki ambacho huyu mrithi wa maximo alichokifanya cha kumteua mwai kimba staz na kumuacha mgosi hivi kweli linaingia akilini au hiyo staz ni ya...
Torquay v Carlisle
Norwich v Droylsden/Leyton Orient
Preston v Nottingham Forest
Tottenham v Charlton/Luton
Stoke v Cardiff
Hull v Wigan
Man United v Liverpool...
Mnaweza kufutilia vinara wa tennis wakipambana
Sasa hivi kuna mechi ya Djokovic na Adny Roddic
Tarehe 27 kuna mechi ya Ady Murray na Nadal
Live stream ipo ATDHE.Net - Watch Free Live Sports TV
Timu yetu ya Taifa ya Kilimanjaro Stars itaendelea kufungwa na kufanya vibaya ktk mashindano mbalimbali hadi tutakapo tambua haya yafuatayo:
1. Kwamba ile ni timu ya Tanganyika (Tanzania Bara) na...
Jamani wadau wenzangu wa "the red devil" hivi kweli kwa kikosi tulichonacho tunaweza twaa ubingwa kweli? au tunahitaji watu wa kuongeza nguvu kwenye usajili wa january......
Guinea yashumbaliwa kuchezesha madume Sauzi.
Friday, 26 November 2010 09:39
ABUJA, Nigeria
SHIRIKISHO la Soka la Nigeria (NFF) limetoa malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Soka la Afrika...
Ikicheza ndani ya Dakika 30 za mwisho huku wakiwa pungufu uwanjani Klabu yenye mafanikio kuliko klabu zote hapa Duniani yaani AC Milan imeweza kuwabamiza klabu ya Inter kwa goli moja kwa bila...
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi
Tuesday, 23 November 2010 20:46
0
digg
LONDON, Uingereza
KAULI kuhusu hali ya hewa ya joto na jinsi inavyoweza kuikosesha nafasi ya kuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022...
Timu ya soka ya arsenal nchini england imezidi kutia aibu kwenye uwanja wake wa nyumban emirates baada ya kukubali kipigo cha goli 3-2, the gunners wametia aibu mbele ya chogo (henry) ambaye...
Wadau wa michezo muda si mrefu kipute cha mchezo wa kirafiki kati ya kilimanjaro stars na harambee stars kitaanza. Kocha wa kilimanjaro ameonyesha wasiwasi wake kwenye maandalizi haya ya kombe la...
HAYA WANA JF KWA WALE WENYE MTANDAO MDA WOTE KTK LAPTOP ZAO ANGALIENI MECHI ZOTE ZA UEFA NA LIGI ZA ULAYA KUPITIA HII LINK
MyP2P.eu :: Football schedules, watch live Football on your pc...
Ngazi ya ubingwa Arsenal inaanzia leo kwa Totenham.
Van Persie ndani. Kwa kuwa tulianza na msimu kwa kuwa na majeruhi, Fabregas,Walcot,Van persie,Valmeen Nasri ambao ni kikosi cha kwanza, leo van...
Sikiliza /Tazama video ya Mourinho aki compare mpira kati ya England Italy na spain
Mourinho on the strongest League - Yahoo! Eurosport UK
Premier league ni tough
Seria A ni Tactical
La Liga...