Arsenal bingwa 2010/11

Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,806
622
Ngazi ya ubingwa Arsenal inaanzia leo kwa Totenham.
Van Persie ndani. Kwa kuwa tulianza na msimu kwa kuwa na majeruhi, Fabregas,Walcot,Van persie,Valmeen Nasri ambao ni kikosi cha kwanza, leo van persie ndani tutegemee mauaji.
Nasikitikia wapinzani wetu walio na WACHEZAJI WAZEE ambao wakiumia kupona kwao nimsimu.
Kudadadeki..
Kumbuka Januari tunamleta Ikar Kasilas ni nomaaaaaaa
 
Kumbuka Januari tunamleta Ikar Kasilas ni
kiherehere tuko pamoja mkuu,leo tukimchapa totenham tuombe na shikamoo stars chelsea wachapwe hapo njia yakuelekea kwenye ubingwa itakua tumeisafisha nusuyake,ila timyetu ya arsenal inatufarahisha wiki hii next week inaboronga,inakua presha inapanda presha inashuka
 
hahahahahahaaa Hapo kwenye nyekundu umenifurahisha, ila tuanakaza buti mapaka kieleweke sa hizi.
 
Kiherehere:
Kweli wewe ni kiherehere...Hebu pitia hapa kwa habari zote za Asenali Au hapa
Nimekukubali kibunango, kumbe kuna wakati tutakuwa upande mmoja? nilifikiri tukianzia kwa CCM na CDM hatuwezi kukaa kuwa pamoja, SPORT bwana...... syimbol of happiness and unity
1 luv
 
Hiki ndio kirehere aisee

  1. Kwanza umeleta jukwaa lisilo - KIHEREHERE
  2. pili kwa kiherehere umeamua kuacha jukwaa la arsenal
  3. tatu ni kwa kiherehere tu, umegeuka sheikh yahya
  4. nne, ni hiki kiherehere kinachowakosesha ubingwa kila mwaka
  5. tano, ni kwa kiherehere hikihiki utakuja badae kusema wenger hafai
  6. sita, kiherehere kitasema tumeshindwa kwasababu jamaa aligonga mwamba
  7. saba, unanikumbusha wale viherehere aliowachamba my president
  8. nane, nakuombea uwe na kiherehere hikihiki mwezi wa tano mwakani

Gudlack!
 
And there goes kiherehere

over and out, down and busted
 
Ngazi ya ubingwa Arsenal inaanzia leo kwa Totenham.
Van Persie ndani. Kwa kuwa tulianza na msimu kwa kuwa na majeruhi, Fabregas,Walcot,Van persie,Valmeen Nasri ambao ni kikosi cha kwanza, leo van persie ndani tutegemee mauaji.
Nasikitikia wapinzani wetu walio na WACHEZAJI WAZEE ambao wakiumia kupona kwao nimsimu.
Kudadadeki..
Kumbuka Januari tunamleta Ikar Kasilas ni nomaaaaaaa
Hongera mzee kwa kupanda ngazi!
 
Hiki ndio kirehere aisee

  1. Kwanza umeleta jukwaa lisilo - KIHEREHERE
  2. pili kwa kiherehere umeamua kuacha jukwaa la arsenal
  3. tatu ni kwa kiherehere tu, umegeuka sheikh yahya
  4. nne, ni hiki kiherehere kinachowakosesha ubingwa kila mwaka
  5. tano, ni kwa kiherehere hikihiki utakuja badae kusema wenger hafai
  6. sita, kiherehere kitasema tumeshindwa kwasababu jamaa aligonga mwamba
  7. saba, unanikumbusha wale viherehere aliowachamba my president
  8. nane, nakuombea uwe na kiherehere hikihiki mwezi wa tano mwakani

Gudlack!

no comment!!!!!!!!!!
 
Hahaha nimependa jinalo KIHERehere...kweli mwaka huu ubingwa kwa assh**! Ligi hii kibonde ni hawa wapiga nyundo wanaobondwa kila kukicha!..ila wengne ukiingia tu wanakunyoa...i love man utd
 
hahahahahahaaa Hapo kwenye nyekundu umenifurahisha, ila tuanakaza buti mapaka kieleweke sa hizi.
kweli wanasema eti malaria inaanza wee! inapungua,sasa si ajabu ukashangaa wiki ijayo arsenal anamfunga aston villa ugenini halafu gemu inayofuatia anafungwa nyumbani,Ashley Young timu yake anayosapoti na utotoni mpaka sasa ni arsenal,Walcott ni liverpool
 
Hahaha nimependa jinalo KIHERehere...kweli mwaka huu ubingwa kwa assh**! Ligi hii kibonde ni hawa wapiga nyundo wanaobondwa kila kukicha!..ila wengne ukiingia tu wanakunyoa...i love man utd
wapiga nyundo watazinduka tu,na ngoja msiombe timu kubwa ikitane nao hatua za mwisho wa ligi kuisha,bado na imani nao ni pepo mchafu tu yupo ila atatoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom