Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Katika kile Kinachoonekana udhaifu wa wazi,ama uelewa mdogo wa watendaji TFF juu ya suala zima la mawasiliano,kumesababisha kiungo wetu Taifa Stars kuikosa match na africa ya kati.Wanamwandikia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani Simba ni muda ya kuipigia promo game yake na TP MAZEMBE ili angalau wasikose yote,hii ni game ya kuvuna pesa maana hakuna dalili ya kuitoa TP MAZEMBE hata tukienda kunywa kila mchezaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ya kusikitisha kabisa,napenda kutoa dukuduku langu kuhusu anayejiita mchambuzi wa soka nchini Edo Kumwembe....Kimsingi sijui huyu jamaa kasoma wapi taaluma ya michezo,tulikuwa na watu...
0 Reactions
32 Replies
15K Views
Jamani labda Tv yangu ina matatizo naona mechi imekatishwa ghafla haionyeshwi naona Matangazo na maongezi ya Commentetars tu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
jamani kwa wale mnaotumia tv4africa kuangalia channels za Tz, hii channel ya TBC1 inapatikana?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. Real madrid v totenham 2. Chelsea v manchester united 3. Barcelona v shaktar donesk 4. Inter milan v shakle 04
0 Reactions
73 Replies
7K Views
19th March 2011 Simba President of the TP Mazembe Football Club Moses Katumbi has pledged to give players and officials of the team $50,000 incentive should they beat visiting Simba in...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Get the very latest scores anytime of on going matches......click hapa chini anytime unataka kupata matokeo. Football Scores - Karibuni Guys!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Japheth Kazenga 17 March 2011 UPANGA Darts Club (UDC) 'heavyweights' Mohamed Shamji 'Jaluo' and Devanand Rajput qualified for the semi-finals of the Paul Cup 2011 tournament after edging...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati sisi tukiwa hatujui hata nani atatuwakilisha kwenye Olympic ya London hapo mwakani wakenya wamesema wapo tayari kwa mashindano. Tume yetu ya Olympic mpo? Kenya ready for London Games
0 Reactions
1 Replies
1K Views
OFFICIAL WEBSITE: By Les Roopanarine Real Madrid progressed to the Champions League...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau habari za Asubuhi Nimekutana na hii article Global publishers, Kampuni ya Global Publishers ikishirikiana na Clouds Media Group limeandaa tamasha la wazi na la bure lililopewa jina la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KAMPUNI ya Active Finance imedhamini ligi ya kumbukumbu ya aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Mpanda Kati, Mzee Philip Mbogo, kwa kutoa seti za jezi na mipira zenye thamani ya Sh milioni 4,500,000...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeona tangazo lake EATV, kuna new reality tv show about an african family (kardashians style) inaitwa Growing up African, I'm not sure kama familia ni ya kitanzania but it will interesting to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpaka sasa man utd wanaongoza goli moja la chicharito. Ni dkk ya 50.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mlinzi wa Arsenal Johan Djourou, anaamini hajaumia sana bega kama ilivyodhaniwa awali na ana matumaini ya kucheza tena mwezi huu. Baada ya kuumia bega wakati wa mchezo wa robo fainali wa Kombe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya jana Manchester United kuitupa Asernal nje ya michuano ya Kombe la FA, leo Manchester City imepata ushindi mwembamba dhidi ya Readings. Ushindi huo unaamanisha nusu fainali moja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutokana na madeni kedekede bosi wa manu asema anakaribia kumwaga manyanga yaani auze timu kwa wenye pesa kabla maden hayaja mnyonga.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Afadhali Tumepata Simu baada ya kutolewa Ethiopia. Mfanyabiashara wa simu za mmkononi wa Kimataifa, Zahoro Matelephone (kulia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Yanga kwa niaba ya wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cheki makombe iliyochukua hii klabu toka 1908!!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom