Mourinho on the strongest League btn spain, italy and england

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,684
8,222
Sikiliza /Tazama video ya Mourinho aki compare mpira kati ya England Italy na spain
Mourinho on the strongest League - Yahoo! Eurosport UK

Premier league ni tough
Seria A ni Tactical
La Liga Technical quality is higher than in italy and england

So wish one is best for you?

Absolutely ...... ..... nyege zinamsumbua special one ana hamu ya kwenda Manure kwa udi na uvumba ndio kisa hataki Fergi astaafu mwaka huu, lakini umri wa Fergi umekwenda hana ujanja ni lazima abwage manyanga sivyo Manure watakuwa kama jamaa flani hivi.
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,427
Absolutely ...... ..... nyege zinamsumbua special one ana hamu ya kwenda Manure kwa udi na uvumba ndio kisa hataki Fergi astaafu mwaka huu, lakini umri wa Fergi umekwenda hana ujanja ni lazima abwage manyanga sivyo Manure watakuwa kama jamaa flani hivi.

Sasa hivi ligi na Media za UK zinamiss mipasho yake na yeye ana miss challenge naona anasema spain ni kati ya barcelona na Real madrid tu.

Btn thanks
Ule mchapio nimerekebisha unajua tena kanumbas skuli
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom