Ukweli niiukubali tu kwa nini taifa ya zanzibar isiwe ndio taifa stars


S

smartgirly

Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
11
Likes
0
Points
0
S

smartgirly

Member
Joined Nov 24, 2010
11 0 0
Hakuna shaka watanzania wote jana tulishuhudia kandanda safi na ya kujituma kwa ndugu zetu wa zanzibar ukweli kike kikosi kilitimia na kwa uchezaji wao wakiwapo na mashirikiano wakiwa uwanjani hakuna shaka kila mdau wa michezo atakuwa pamoja nami? watanzania tuwache tofauti zetu wakati tunataka maendele ikiwa timu yetu itafanya vizuri tutasifiwa wote na ikifanya vibaya tutalaumiwa wote sasa wakati umefika kwa TFF kukaa na kukubali kukitumia kikosi hicho kwa kukiongezea nguvu kidogo tu na kuwalea vijana kwa maendeleo ya soka hapa nchini ukiangalia historia Zanzibar wana rikodi kubwa katika kombe la Challege na maandalizi yao ni mafupi mno je kama wakiwa na maandalizi ya muda mrefu itakuaje

Wezetu walioendelea wako tayari kutoa uraia kwa wageni kwa sababu ya kipaji tu cha mtu iweje tanzania vipaji tunavyo bado tunaamua kuvikalia. hii ndio inanikumbusha maliasili tulizo nazo na bado Tanzania ipo katika nchi maskini duniani wakati madini tuliyokuwa nayo huwezi amini. Watanzania wakati umefika sasa tunahitaji maendeleo tumechoka kuwa watazamaji wa mipira ya njee na kushabikia mataifa ya nje tuboreshewe vya kwetu

hivi nyie viongozi jalini sifa za kuletea maendeleo taifa na kukumbukwa na kizazi kipya acheni ubinafsi wa kukumbukwa na familia zenu tu. baadae watoto wenu wakionekana wanalaniawa mitaani
:painkiller:
 

Forum statistics

Threads 1,236,025
Members 474,927
Posts 29,243,709