Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

KAMATI YA NIDHAMU TFF IMEKOSA NIDHAMU IJIUZULU Kamati ya nidhamu ya TFF iliyo chini ya mwenyeiti wa Sunday Kayuni imekosa nidhamu kwa Watanzania na inapaswa ijizulu. Kamati hii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
haya hayaaa! Ni barcelona v real madrid! Ka vp tuanze kupeana tathmini ryt now pamoja na utabiri pia. BARCELONA WIN - LOSE REAL MADRID but kwa bao ngapi, ngoja twoneee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna shaka watanzania wote jana tulishuhudia kandanda safi na ya kujituma kwa ndugu zetu wa zanzibar ukweli kike kikosi kilitimia na kwa uchezaji wao wakiwapo na mashirikiano wakiwa uwanjani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Si kama nina chuki binafsi ila ctaki kukiamini hiki ambacho huyu mrithi wa maximo alichokifanya cha kumteua mwai kimba staz na kumuacha mgosi hivi kweli linaingia akilini au hiyo staz ni ya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Torquay v Carlisle Norwich v Droylsden/Leyton Orient Preston v Nottingham Forest Tottenham v Charlton/Luton Stoke v Cardiff Hull v Wigan Man United v Liverpool...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnaweza kufutilia vinara wa tennis wakipambana Sasa hivi kuna mechi ya Djokovic na Adny Roddic Tarehe 27 kuna mechi ya Ady Murray na Nadal Live stream ipo ATDHE.Net - Watch Free Live Sports TV
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Timu yetu ya Taifa ya Kilimanjaro Stars itaendelea kufungwa na kufanya vibaya ktk mashindano mbalimbali hadi tutakapo tambua haya yafuatayo: 1. Kwamba ile ni timu ya Tanganyika (Tanzania Bara) na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wadau wenzangu wa "the red devil" hivi kweli kwa kikosi tulichonacho tunaweza twaa ubingwa kweli? au tunahitaji watu wa kuongeza nguvu kwenye usajili wa january......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guinea yashumbaliwa kuchezesha madume Sauzi. Friday, 26 November 2010 09:39 ABUJA, Nigeria SHIRIKISHO la Soka la Nigeria (NFF) limetoa malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Soka la Afrika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Justin Bieber and Kim Kardashian
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikicheza ndani ya Dakika 30 za mwisho huku wakiwa pungufu uwanjani Klabu yenye mafanikio kuliko klabu zote hapa Duniani yaani AC Milan imeweza kuwabamiza klabu ya Inter kwa goli moja kwa bila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Stars cruise over Harambee...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tuesday, 23 November 2010 20:46 0 digg LONDON, Uingereza KAULI kuhusu hali ya hewa ya joto na jinsi inavyoweza kuikosesha nafasi ya kuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu ya soka ya arsenal nchini england imezidi kutia aibu kwenye uwanja wake wa nyumban emirates baada ya kukubali kipigo cha goli 3-2, the gunners wametia aibu mbele ya chogo (henry) ambaye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa michezo muda si mrefu kipute cha mchezo wa kirafiki kati ya kilimanjaro stars na harambee stars kitaanza. Kocha wa kilimanjaro ameonyesha wasiwasi wake kwenye maandalizi haya ya kombe la...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
HAYA WANA JF KWA WALE WENYE MTANDAO MDA WOTE KTK LAPTOP ZAO ANGALIENI MECHI ZOTE ZA UEFA NA LIGI ZA ULAYA KUPITIA HII LINK MyP2P.eu :: Football schedules, watch live Football on your pc...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ngazi ya ubingwa Arsenal inaanzia leo kwa Totenham. Van Persie ndani. Kwa kuwa tulianza na msimu kwa kuwa na majeruhi, Fabregas,Walcot,Van persie,Valmeen Nasri ambao ni kikosi cha kwanza, leo van...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sikiliza /Tazama video ya Mourinho aki compare mpira kati ya England Italy na spain Mourinho on the strongest League - Yahoo! Eurosport UK Premier league ni tough Seria A ni Tactical La Liga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hehehehe ama kwelim tembo akisifiwa.........Huyu Etoo soka limemuendea kombo kidogo tu anaamua kuwa Zidane kwa kumpiga mchezaji wa Chievo kwa kichwa last weekend walipochapwa 2-1, Binafsi i was...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom