Kombe la FA: Ni Manchester Utd dhidi ya Manchester City

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Baada ya jana Manchester United kuitupa Asernal nje ya michuano ya Kombe la FA, leo Manchester City imepata ushindi mwembamba dhidi ya Readings. Ushindi huo unaamanisha nusu fainali moja itazikutanisha timu mbili za jiji la Manchester. Historia inaonesha kuwa Manchester city haijawahi kuingia kwenye robo fainali tangu 1981. Timu hizi zimeshakutana katika nusu fainali mara moja mwaka 1926 ambapo City ilishinda magoli 3-0 lakini wakapoteza mbele ya Bolton katika Fainali. Kama city watashinda wanaweza kukutana tena na Bolton katika fainali. Bolton itacheza na Birmingham city katika nusu fainali. Tunategemea kushuhudia mchezo mzuri kabisa wa nusu fainali kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni.
Tusubiri tuone
 
Nadhani watacheza na Stoke sio Birm
 
Back
Top Bottom