Tff uozo-nizar hatashiriki game na africa ya kati

chigwiye

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
352
59
Katika kile Kinachoonekana udhaifu wa wazi,ama uelewa mdogo wa watendaji TFF juu ya suala zima la mawasiliano,kumesababisha kiungo wetu Taifa Stars kuikosa match na africa ya kati.Wanamwandikia email nizar badala ya timu ya whitecaps.Je hilo nalo linahitaji elimu ya chuo kikuu kweli?Whitecaps as a result wamekataa kumruhusu kutokana na ukiukwaji huo wa taratibu za mawasiliano.Hakika watu wawajibushwe ktk hili.Ni uzembe ulokithiri
 
TFF huwa makini zaidi linapokuja swala la mapato ya uwanja wa Taifa na ruzuku kutoka FIFA. Basi!!
Ila ni bora TFF kuliko FAT ya kina Ndolanga.
 
...kuwajibika?? usi-copy na ku-paste mambo ya majuu na hapa bongo!!! kuwajibika???
 
Back
Top Bottom