Ushauri:simba kusanyeni mapato siku ya tp mazembe............................

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Nadhani Simba ni muda ya kuipigia promo game yake na TP MAZEMBE ili angalau wasikose yote,hii ni game ya kuvuna pesa maana hakuna dalili ya kuitoa TP MAZEMBE hata tukienda kunywa kila mchezaji ndoo nzima ya dawa ya babu pale loliondo.......................bravo TP MAZEMBE...
 
Back
Top Bottom