Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Klabu ya soka ya Abajalo ngilimaa ambayo ndio yenye mafanikio kuliko klabu yoyote ukanda wa Sinza, Ubungo, Mwenge na maeneo ya jirani wameweza kuwapa rrraha mashabiki wao na kukumbuka mafanikio ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa Simba Mgosi ambaye ameambiwa wazi kiwango chake kimeshuka na hahitajiki kwenye kikosi cha kocha wa Simba Mganda Moses Basena, ametoa masharti mazito kwa timu inayomuwania ya Villa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Yanga na pia Taifa stars leo amesaini kuichezea Azam FC kuanzia msimu ujao wa 2010/2011 na atakuwa akilipwa mshahara wa 1.2m kwa mwezi na ada yake ya uhamisho ni...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Man Utd top Forbes' rich listJuly 15, 2011 Email Print By ESPNsoccernet staff Manchester United have been named the world's most valuable sports team, according to Forbes magazine's annual top...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Shalom! Kwenye exclusive interview na gazeti la "Burudani" mapema wiki hii, Nicholaus Musonye katibu mkuu wa CECAFA amekiri kuwa Yanga na Simba ni timu zenye wapenzi wengi sana hapa nchini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Club kubwa za Yanga na simba ni club zenye wachama wengi nchini. kwa bahati yanga sasa inafadhiliwa na mbunge alienguka katika kura za maoni 2000 Jimbo la Kigamboni. baada ya kuanguka huko Yussuf...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika hali inayoashiri sasa kila mtu atafune chake mapema nikiwa mmoja wa waliochangia million kadhaa zilizotangazwa hapo majuzi kwa kweli naona sasa tff inaturudisha fat..kama mkumbakavyo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
By In2EastAfrica - Sat Jul 09, 8:44 pm CECAFA Secretary General Nicholas Musonye The Council of East and Central African Football Associations (CECAFA) has said it is looking into the...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii jamaa wa Emirates wataipenda lakini Old Trafford mmmhhh!!!! Barclays Premier League table Thursday, 23 June 2011 12:39 UK P GD PTS 1 Arsenal 2 Aston Villa 3...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kana kwamba ajaridhika na uchakachuaji waliofanya wakishirikiana na wenzao wa wizarana na tff mh huyu amefurahia percent aliepewa na majana ametangaza atapigia debe mashindano haya next time yawe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita kuna taarifa tulipata kuhusu wachezaji wa Red Sea walioingia mitini badala ya kurudi kwao baada ya kuondolewa kwenye mashindano hatua ya robo fainali,ila mwisho wa siku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HALI ndani ya klabu ya Simba sasa imekuwa ya mtafutano, baada ya wachezaji Mussa Mgosi na Mohammed Banka kuenguliwa kwenye usajili kwa ajili ya Ligi Kuu msimu ujao. Hatua hiyo imekuja siku...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kwa maoni yangu mchezaji huyu wa yanga na timu ya Taifa anaweza kuwa nahodha bora kabisa kati ya waliowahi kutokea katika soka la Tanzania. Mwenye wasifu wa mchezaji huyu atuwekee hapa ikiwa ni...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Imesikika sauti ya Boniface Wambura afisa habari TFF, kwamba anawaomba radhi kwa kitendo cha umeme kukatika wakati wa utoaji wa zawadi, nina wasiwasi na huu msamaha. Lakini pia Sendeu Luis amewapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
‪Congo - Pepe Kalle (RIP) - Young Africa‬‏ - YouTube http://youtu.be/Te1oxYJNjp4 Tujikumbushe marehemu Pepe Kalle alituthibitisha sisi mabingwa wa Tanzania na Afrika mashariki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Takliban mwez sasa man city walipewa na mmiliki wao kama tilion 1 za usajili, je? unafikili wakisajili nakuunda kikosi kilicho bola misim hi 2 watavunja utawala wa man utd wakuchukua vikombe?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikiwa kama mtaalamu, mchambuzi na mwangalizi wa soka la kimataifa (International Observer), kiujumla huwa sitoi tathmini ya soka letu la kibongo kwa sababu kadhaa, ila wakati huu nimewiwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
CECAFA KAGAME CUP 201125th June to 9th July 2011 in TanzaniaTeam Fixture list GROUP A SIMBA(TZ), VITAL O’(BUR), ETINCELLES (RWA), OCEAN BOYS (ZNZ), GROUP B YANGA(TZ), EL...
0 Reactions
2K Replies
145K Views
Thirteen members of an Eritrean football team have failed to return home after a regional tournament in Tanzania, officials say. After Red Sea FC lost the Cecafa championship semi-final on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Football Stars Banned From Getting Tattoos German side Werder Bremen have banned their players from getting tattoos. But the club are not trying to stem the tide of Bundesliga body art: they're...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…