Je man city wanaweza kuvunja utawala wa man u ndan ya misim 3 ijayo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je man city wanaweza kuvunja utawala wa man u ndan ya misim 3 ijayo?

Discussion in 'Sports' started by nasri athumani, Jul 13, 2011.

 1. n

  nasri athumani Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Takliban mwez sasa man city walipewa na mmiliki wao kama tilion 1 za usajili, je? unafikili wakisajili nakuunda kikosi kilicho bola misim hi 2 watavunja utawala wa man utd wakuchukua vikombe?
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,276
  Likes Received: 4,261
  Trophy Points: 280
  Sheria mpya za UEFA zinawabana Man City kutumia fedha nyingi,so far hadi sasa wamesajili wachezaji 2 tena hakuna hata anyefikia pauni mil 10,huenda wakanunua mshambuliaji kama TEVEZ ataondoka
   
Loading...