Leodgar tenga mnaturudisha wizi wa kina ndolanga sio??milion 350 uwanja umejaa maanake nini??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Katika hali inayoashiri sasa kila mtu atafune chake mapema nikiwa mmoja wa waliochangia million kadhaa zilizotangazwa
hapo majuzi kwa kweli naona sasa tff inaturudisha fat..kama mkumbakavyo muhidin ndolanga aliondoka kwa kesi ya wizi na sasa huyu bwana anataka tumpelekee takukuru hawa takukuru awana kazi nyingine kila siku fat.tff jamani
kwa mliouona uwanja akuna ukweli halisi wa hela iliotangazwa na mbaya zaidi napenda kuwahakikishia kuna vip tulikuwa tumesimama tumeingia saa tisana nusu viti vyote vimejaa na watu wamesimama ikabidi tuendelee kusimama
sasa ukiangalia kwa upande wa jukwaa la orange na green aibu watu wamepakatana sasa

embu leodgar tenge mwogopeni mungu jamani kumbukeni mkiwa hivyo akuna tofauti na maharamia wa somalia wanachofanya wanachukua hela kwa mitutu nyie mnachukua kwa kugaiana sio vizuri hamna hata haya ya kuzaliwa jamani
loh
kidumu chama cha majambazi mpaka kwenye mipira
 
Uko sahihi kabisa, PDiddy. Sitting capacity 60000, assuming wote walilipa 10000 ina maana mapato ni 600 million.

Kumbuka kuwa ilibidi polisi wawafukuze watu nje kuwazuia wasiingie pamoja na kuwa walikuwa tiketi.
 
Ngambo mi nilitoa machozi niliposikia hiko kiasi nilisema sasa hii ndio chukua chako mapema
 
km watu walipakatana ina maana ticket ziliuzwa zaidi ya siti zilizoko uuwanjani. fikiria mpaka watu wanafukuzwa nje na polisi na wana ticket hii ni hatari sana wizi wa wazi kabisa. siku maafa yakija tokea sijui ni nini watajibu hawa wezi wa TFF.
 
Halafu ni hatari kubwa sana watu kujaa kuliko capacity in case of anything, rescue operation inakuwa ya shida sana. The national stadium is no longer a safe place to go anymore, it is a disaster in coming.

Na hii yote in shauri ya njaa , hii njaa itatuua jamani!!!!!!!
 
Acheni uzushi ni wapi walipotangaza hela hiyo imepatikana taarifa rasmi bado inaandaliwa
 
Back
Top Bottom