Pendekezo. Mbunge mstaafu Rostam Azizi awe mfadhili wa Simba sport club | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo. Mbunge mstaafu Rostam Azizi awe mfadhili wa Simba sport club

Discussion in 'Sports' started by Malaria Sugu, Jul 15, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Club kubwa za Yanga na simba ni club zenye wachama wengi nchini.
  kwa bahati yanga sasa inafadhiliwa na mbunge alienguka katika kura za maoni 2000 Jimbo la Kigamboni. baada ya kuanguka huko Yussuf manji ameingia kuifadhili club ya Yanga, tunaona manufaa yake. Yanga bingwa BARA, bingwa Kagame Cup. Imesheheni vipaji kutoka nje. hii ni kazi Iliofanywa na Manji kuendeleza soka.
  naamini Aziz baada ya kustaafu ubunge(kama alivyostaafu waziri mkuu mstaafu EL) ni wazi sasa akaribishwe timu ya simba ili nayo iweze kujikwamua kifedha na ilete mataji .
   
 2. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Nasikia anapenda cricket. Labda Simba iache kucheza soccer halafu ianze kucheza cricket...
   
 3. M

  Magarinza Senior Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Atanufaika vipi yeye binafsi kwa kuifadhili simba. Ccm magamba ilimpa kagoda, epa, richmond nk. Simba itamnufaishaje yeye binafsi nauliza. ????
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ndugu uelewe kwamba EL hakustaafu BALI alijihuzulu na kama hauelewi maana ya kustaafu ni kutumikia serikali kwa mujibu wa sheria za nchi,ipo hvyo mkuu.
   
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yako, Manji siyo mfadhili tena wa yanga. Ubingwa wa bara na CECAFA umepatikana baada ya Manji kujiuzulu
   
Loading...