Zijue club za michezo tajiri zaidi Duniani- Man U waongoza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zijue club za michezo tajiri zaidi Duniani- Man U waongoza

Discussion in 'Sports' started by Tiba, Jul 15, 2011.

 1. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  [h=1]Man Utd top Forbes' rich list[/h]July 15, 2011
  By ESPNsoccernet staff

  Manchester United have been named the world's most valuable sports team, according to Forbes magazine's annual top 50 list.
  [​IMG] PA PhotosOld Trafford: A money making machine


  United, who are currently touring the USA for their pre-season preparations, came top in the list with a value of £1.65 billion. The Red Devils have recently signed sponsorship deals with Aon and Nike worth around £380 million and have accumulated 333 million supporters across the globe.
  Seven other football teams made the list, with Real Madrid (5th) and Arsenal (7th) in the top ten.
  Despite owner Roman Abramovich's vast personal fortune, Chelsea only came 46th, while Bayern Munich (19th), AC Milan (34th) and Juventus (49th) also made appearances.
  Barcelona - widely regarded as the best side in the world - came only 26th in the ranking as their debts held them back despite their worldwide appeal.
  The Forbes Top Ten:

  1. Manchester United £1.65bn
  2. Dallas Cowboys £1.13bn
  3. New York Yankees £1.06bn
  4. Washington Redskins £960m
  5. Real Madrid £900m
  6. New England Patriots £850m
  7. Arsenal £740m
  8. New York Giants £734m
  9. Houstan Texans £727m
  10. New York Jets £708m

  My comments;

  Ni kwanini club ya Chelsea hata haipo kwenye ishirini bora? Pia Barcelona haipo kwenye 20 bora, kwanini?

  Tiba

  [h=3][​IMG][/h]
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu wameangalia thamani ya Mikataba ya udhamini, Matangazo, Mapato kiwanjani, Thamani ya kiwanja nk. Anzia hapo kujiuliza Why Chelsea and Barcelona are not in the Top 10.
   
 3. Pianist

  Pianist JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Barcelona walifikia hatua ya kukopa kwenye mabenki ya Spain ili kuweza kulipa mishahara ya wachezaji wake. Usishangae kutoiona kwenye hiyo list.
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  As long as Arsenal are in the list, I have no problem with da list!
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wewe uliyeandika lazima utakuwa mpenzi wa manu
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Kwa barcelona muundo wake ulikuwa ni kama community au NGO. yaaani non profit.

  Ndio maana unaona hata jezi zao zilikuwa na nembo ya mashirika ya UN. Tena wao bardelona ndio inawalipa UNicEF kwa kutumia nemb yao. Jamii au community ya barcelona inafaidia kwa miradi inayfadhiliwa na UN.


  Lakini masharti ya munudo wa balance sheet mpya iliyoweka na na UEFA kwa vilabu vya ulaya umewalazamisha waanze kuwa kibiashara zaidi.

  So barcelona haipo katika list sababu vgezo vya utajiri hapo ni vya kibeari zaidi. Sababu kiukweli arsenal ni tajiri kuliko vilabu vigi na ingatikiwakuwa juu.
   
Loading...