Musonye: Yanga inaonekana kuwa na wafuasi wengi kuliko Simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musonye: Yanga inaonekana kuwa na wafuasi wengi kuliko Simba

Discussion in 'Sports' started by Tisha-TOTO, Jul 15, 2011.

 1. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Shalom!

  Kwenye exclusive interview na gazeti la "Burudani" mapema wiki hii, Nicholaus Musonye katibu mkuu wa CECAFA amekiri kuwa Yanga na Simba ni timu zenye wapenzi wengi sana hapa nchini. Lakini akaongeza kwa kukiri kuwa Yanga inaonekana ina wafuasi wengi zaidi.

  Labda ni assessmenet sahihi kwa kuzingatia kuwa huyu bwana amekuwa akiichukia sana Yanga tangu ilipotia mpira kwapani dhidi ya Simba mwaka ulee!!


  Soma kipande hichi hapa cha interview...

  ===========================================
  Swali:
  Mashabiki wengi wa Yanga walikuwa awali wanakuchukia na kukuona mtu mbaya lakini baada ya kuirejesha timu hiyo walikupigia makofi. Hali hiyo unaizungumziaje?

  Musonye:
  Mimi nasema kwamba kwenye sheria lazima tufuate sheria, kitendo ambacho Yanga walikifanya kilikuwa kibaya kwa kukataza kuingiza timu yao kucheza na Simba. Lakini mambo hayo yamekwisha na wameomba msamaha na wamerejea na wamefanikiwa kuchukua ubingwa basi tuangalie mambo mengine yanayokuja.

  Swali:
  Umejifunza nini kuhusu soka kwa ujumla hapa nchini?

  Musonye:
  Mimi nimejifunza kwamba Watanzania wengi wanapenda soka hasa Simba na Yanga, lakini nimeona Yanga kuwa wana wapenzi wengi zaidi.
  Jambo hili kwetu Kenya halipo nk, nk, nk, nk
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  mpumbavu huyo **** amewaibia watanzania na tenga wake kwenye mgao anadai lazima aakikishe fainali zinarudi tanzania tena ...ahana adabu anakuja sio kwa mashabiki bali kuvuna pesa zetu
   
 3. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  mjaluo na Tohara ni vitu viwili tofauti.
  ubingwa tulioutwaa sisi Yanga ni kumkumbusha Musonye awahi haraka kwa Ngaliba coz umri unazidi kwenda
   
 4. m

  mojawapo Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CECAFA haiwezi ku-survive bila pesa. WaKenya hawapendi boli. Ni Watanzania ndio wapendao boli. Sasa untaka Musonye afanyeje ? Ama unataka CECAFA ife ?
   
Loading...