Simba wa kifanya mazoezi uwanja wa setif algeria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba wa kifanya mazoezi uwanja wa setif algeria

Discussion in 'Sports' started by bemg, Apr 5, 2012.

 1. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  SIMBA kesho inashuka kwenye Uwanja wa Mei 8, 1945, jijini Setif, Algeria; uwanja ambao una historia ya kipekee nchini humu.
  Tarehe 8, Mei mwaka 1945, majeshi ya Ufaransa iliyokuwa ikiikalia kimabavu Algeria yaliua wananchi kati ya 6,000 hadi 45,000 wa Setif katika mapambano yaliyofanyika mjini humo.
  Uwanja huo wenye uwezo wa kubeba watu 30,000 ulibadilishwa jina wakati huo na kupewa jina hilo la tarehe –kwa kifaransa Stade Mai 8 1945, kwa heshima ya watu waliopoteza maisha siku hiyo.
  Mauaji hayo ndiyo yaliyosababisha timu ya Setif kubadili rangi ya jezi zake kutoka nyeupe na kijana na kuwa nyeusi na kijani –nyeusi ikiwa na maana ya kuomboleza maelfu hayo ya watu waliouawa siku hiyo.
  simba sport club website

   
 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kipande cha historia,
  Kila la kheri Simba
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Nitafurahi wakishinda, Ila nitafurahi zaidi kama wakitolewa!! All the best watani wa jadi!
   
 4. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Ni bora ufikirie bendera ipi itapeperushwa huko Algeria kabla ya kuweka utani wa jadi mbele
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahaha watani bana, nimesikia Rage anasema kuna baridi sana wachezaji watakuwa wanapewa kahawa wakati mechi inaendelea, si ndio kutafuta kuwaumiza matumbo waanze kuendesha?
   
 6. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  baridi ni kali mtani whether ya leo ni nyuzi joto 9.Wakati makambo kuna nyuzi joto 20 kwa kipimo cha leo
   
 7. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mwenye taarifa tafadhali...mechi inapigwa saa ngapi au kama imeanza matokeo vipi?
   
 8. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  mechi inaanza saa mbili kamili saa za tz
   
 9. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
 10. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
Loading...