Best Soccer team in history of Soccer...Even Heaven host know it | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Best Soccer team in history of Soccer...Even Heaven host know it

Discussion in 'Sports' started by Gang Chomba, Apr 4, 2012.

 1. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  unapozungumzia mchezo wa Soka basi kwa namna moja ama nyengine hutaacha kuitaja klabu ya soka ya AC Milan kuwa ndio timu ama Baba wa soka ulimwenguni.

  Milan ni timu ya kila Siku, utawala wa Milan si kama tawala za timu nyingine ambazo humaliza hata Mwongo mmoja bila kuwa na kombe lolote la kimataifa.


  Unapoizungumzia Milan AC basi unatakiwa kujuwa kuwa kwa vigogo wa Soka pale ulaya ni Milan ndio inayoongoza kwa Makombe ya kimataifa.


  Milan ni timu kubwa kila siku yenye mashabiki Duniani kote, kasoro Dodoma tu ambako kuna jimbo limejaza mapunguani ktk kila kaya na jimbo hilo ni jimbo la Mtera.


  Nashawishika kuitaja Milan kuwa ni timu boora ktk historia ya Soka si tu kwamba timu hii imechukua makombe mengi ya kimataifa, la hasha ni kuwa timu hii iliwahi kuunda vikosi viwili ambavyo mpk Dunia itakapofika tamati hakutakuja kuwa na timu kali na sumu kama Milan hii ya vipindi tofauti...


  Milan ya kwanza ilikuwa ni ya msimu wa 1988-1989 ambayo iliundwa na:......
  1. Gali
  2. Tassotti
  3. Maldini
  4. Costacurta
  5. Baressi [C]
  6. Colombo
  7. Donadoni
  8. Rijkhaard
  9. Van Barsten
  10. Gullit
  11. Carlo Ancelotti


  Milan hii ilibeba European Cup kwa sasa inafahamika kama UEFA champions League kwa kuichapa timu iliyokuwa ngumu kwa kipindi hicho hapa naizungumzia Real Madrid kwa goli 5-0 ktk mchezo wa nusu fainali ambapo mpk mwisho wa mchezo Madrid walikuwa wameshakubali kuwa walizidiwa kila idara na hapakuwa na harufu ya Milan kubebwa na refa wala hapakuwa na manung'uniko yoyote toka kwa wachezaji wa Madrid.


  Kama hiyo haitoshi Milan AC walikwenda beba ndoo ya Ulaya baada ya kuikung'uta klabu ya Steau Bacarest kwa jumla ya Magoli 4-0 ambapo napo pia hapakuwa na harufu ya mchezaji wa Milan kujirusha ama kupata ahueni bin upendeleo toka kwa Refa...
  Hii ndio AC Milan.
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  haikuishia hapo Milan iliendelea kuchachafya soka la ulaya na Dunia kwa ujumla kwa msimu uliofuata baada ya hapo waliweza kubeba tena kombe hilo na kuendelea kutawala Soka na kuzidi kuvutia hisia za watu wengi wa Soka.
   
 3. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  msimu wa 92-93 Milan walifungwa na Olympic Marseille ambayo ilikuja gundulika kuwa wafaransa hao walipanga matokeo na kisha shirikisho la Soka Barani Uropa waliwapoka ushindi na kuwachukulia adhabu kali Maseille...
   
 4. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh! Leo wamewadhurumu kwa kuwabambikia matuta ya utata!
   
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  na msimu wa 93-94 Milan walirudi tena wakiwa na hasira kiasi kwamba kwa bahati mbaya kuna timu ilikaa mbele na kujishaua kucheza fainali na AC Milan.
  Milan iliicharaza timu hii jumla ya magoli 4-0 pasipokuwa na kelele za wapinzani kuwa Refa alipendelea, au kuna penati ilitolewa isivyo halal au kuna element za offside.
  timu hii iliochukua kipigo cha mbwa koko ilikuwa na wachezaji nyota siku hiyo kama Hristo Stoichkov, Romario na kiungo wao tegemeo alikuwa ni Pep Guardiola ambaye kwa sasa ndie anaifundisha tim hiyo.

  ktk mchezo huo Milan waliwakilishwa na:...
  1. Rossi
  2. Panucci
  3. Maldini
  4. galli
  5. Baresi
  6. Albertini
  7. Donadoni
  8. Desaily
  9. Savicevic
  10. Masaro
  11. .....................
   
 6. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Milan pia imewahi kumiliki wachezaji kama Rivaldo, George Wear, muheshimiwa Redondo, Roberto Baggio, Ronaldo De Lima na Ronaldo De Asis Moreirra ''Dinho'', Paolo Di Canio, Manuel Rui Costa, Brian Laudrup na wengine weeeengi ambao kuwaorodhesha hapa yaweza kuwa dhambi pia.

  Hii ndio Milan ambayo mafanikio yake hayachangiwi na Refa au na Rais wa shilikisho lolote la Soka ulimwenguni.
  Milan hii ilikuwa na mafanikio ya Halal uwanjani na si controversy kila kukicha.

  Forza Milan
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  barca....
   
 8. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Wamefanya nini?
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Of all time? Santos!!
   
 10. M

  Mjaidina Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Rossoneri-the red n blacks
  Forza Milano
  Forza san siro
  Forza gatuso
  Forza clarence Seedorf- Seedorf is the first player to have won the Champions League4 times and with three different clubs - Ajax in 1995, Real Madrid in 1998 and Milan in 2003 and 2007
  kashinda mara 4 UCL kama timu ya UNICEF a.k.a BARCA
   
 11. M

  Mjaidina Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  usifanye zambi mkuu unataka kumsahau YESU wa SAN SIRO
  Mdutch MVB-MARCO VAN BASTEN
   
 12. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Imebaki kuwa historia kwa sasa hao weupe tu! teh! teh! teh!
   
 13. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  ARSENAL (The gunners)
   
 14. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mkuu hasitan abadan dhambi hiyo sithubutu kuitenda.
  MVB nimemuorodhesha hapo...
   
 15. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mlandege, Mji mpwapwa, Arsenal, JKT Ruvu, Kikwajuni, Kariakoo Lindi, Chelsea, Shangani na ushuzi mwingine unaweza kuongezea
   
 16. Companero

  Companero Platinum Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  haya mambo ya historia ya kale hayana tofauti na waafrika waliochoka leo kudai eti walikuwa sehemu ya himaya maarufu za axum, kilwa, mali, songhai, nubia na kermet!
   
 17. Companero

  Companero Platinum Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  mliua kiwango cha redondo wa madrid na mkashindwa kufufua cha ronaldinho wa barca!
   
 18. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ac milan ya ukweli ni ile ya sacchi ya 1989...hiyo team alikuwa inacheza mpirathat makes u happy to be alive na katika mwaka 2001 team bora ya karne ilikuwa ya nne tatu za mwanzo zilikuwa timu za taifa...brazil ya mwaka 1970 holland ya 1974 & 1978 na hungary ya 1956.....so fantastic a team it was mpaka leo bado inakumbukwa even tho haikushinda makombe mengi kama ac mila chini ya capello
   
 19. Companero

  Companero Platinum Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  nostalgia ni tamu ila kwa sasa ulaya ni timu mbili tu zinazocheza mpira wa kusisimua uliojaa pasi nyingi na za uhakika pamoja na magoli matamu kuliko timu yoyote katika bara la uropa: barcelona/arsenal 1 na barcelona/arsenal 2!
   
 20. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Seedorf is one of my all time favourites.He's just good at what he does regardless his age.
   
Loading...